hahahahhah zanzi zingine zimechanganywa na ulaka ujue!
cha!
ila kweli kwanini nahodha wa ngalawa anakaa nyuma?
akikaa mbele safari hendi?
Hahahaaa ya nahodha yaache tu ni siri nzito sana
mambo baby mimisa!nimerud mke wangu leo
Mtandao huoni haujawahi kusuasua...yan mambo waaaaa kila sikueti anataka kuniunganisha kwenye mtandao wake
kweli wenye mitandao huwa hawatosheki ila sawa nakubali
karibu darl...unaona wanayoanza kunifanyia?
usiwe unakaa sana huko
Mtandao huoni haujawahi kusuasua...yan mambo waaaaa kila siku
Hahahahaaaa kumbe nasikia hata wewe ni mshika pembe tu