Ndo nn kumshadidia Mamndenyi,,,,,,njoo tuongee yetu huku kabla hakijanuka,,,
Mamndenyi mke sina labda kimvuli na kumbu kumbu tu...
Mamndenyi mke sina labda kimvuli na kumbu kumbu tu...
unanikana leo
kijana naona unarudi kwa kasi kimondo, kuwa makini sana na hizo speed zako unawezaishia kwenye dimbwi la maji machafu
unanikana leo
Ha ha ha ha ulinikimbia,ukisaidiwa na nduguzo,mkanitusi sana...Mbele ya jamii ukabwaga manyanga.
Haya muke ya zubedayo_mchuzi,usiku mwemausijali my dia. Hana shida namuaminia
...
.....Habari zenu wajameni.Jamani nipo mzima kabisa naENDELEA NA MAJUKUMU YANGU VIZURI.
.............Mwambieni Mamndenyi namtafuta.....
Msimu wa kutafutana huu wewe.