Hana qualifications za kukufundisha, hivi hajui kuwa nilifanya tohara kwa ajili yako?eti kasema kuna tuisheni
ya kufanya
ndo maana.
Eeeeeh nashangaa anakuambia maneno machafu nawewe unamwangalia tu.....oooohAtiii..???!!!
Naomba unisamehe mume wangu...ujue ume'exagrate sana!nakupenda sana atiii,punguza hasira bbyEeeeeh nashangaa anakuambia maneno machafu nawewe unamwangalia tu.....ooooh
Shauri yako!
:angry:
Hahahahahaha..haki ya Mungu wewe upigwe tuu
Sawa mpenzi wangu...Nimekusamehe kwa moyo wangu wote coz nakupenda sana mke wangu.Naomba unisamehe mume wangu...ujue ume'exagrate sana!nakupenda sana atiii,punguza hasira bby