Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sie hunywa vinavyofanana napenda kuigammhh sabby hadi Lager!!?.. usikute lile tarumbeta kubwa!!.. nanyoosha mikono juu!.[emoji2]
Sayari hii hii ya dunia. Ukienda bar probability ya kuwapata ni ndogoAseee hivi mnapatikana Sayari ipii!???... mbona wengine hatukutani hata kwa bahati mbaya!..
Ipoje?aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!
UchocheziNiko na Ustadhi Hapa Maeneo ya ST. Joseph napiga nae Kitimoto!
Kuna ile guiness sijui inaandikwaje ni chungu jamaniiiiiHeineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..Mimi huwa naacha pombe kwa msimu, hasa nikitaka kupungua uzito, maana kama nakunywa siwezi kufanya mazoezi wala dayati.
Ila nikiacha kama miezi mitatu napungua kama kilo 5 - 7, then naanza tena.
Duuh mpaka supu. Ulikua unakosa raha za dunia bora ulivyoanza tumia.Zamani hata Supu nilikua situmii!!..
au hadi leo situmii maziwa fresh!, mtindi uwe na sukari nyingii!!.. Sasa hiyo utumbo tabu tupu!..
Tatizo langu mi nikilewa tu nataja kulala na ..... ntamuharakisha tu mpenzi wangu bure bora ninywe huto hatuleweshi sanaHahaha, ile mi naonaga kama mirinda nyeusi vile.
Nimetoa tu taarifa!
kuna chimbo lipo kkoo mpeleke akasafishe tumbo kwa wali wa buku 8.Mchana rafiki yangu Bakari Juma alikula kitimoto na ugali..!
Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..
Labda kwa vile nilikua najua sitarudi mwenyewe nitakua na mgeni!..
Ila Pombe zilikua zinanikondesha sana mana nikitoka kunywa sili chochote zaidi ya wali halafu asubuhi sikuwahi kuwa na hangeover toka siku flani nilikunywa cocktail imemixiwa dry gin kibao nikaamka saa 11 jioni[emoji23].