Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Kuna jamaa mmoja ananiambia wazungu wana moyo sana wanakula mbuzi+ yani kama wanakula ndugu zao.
[emoji23][emoji23] kuna haja apelekwe kwa Trump au Kim. Ukutane na kijeba cha kibulgaria utasema kinguruwe kimevaa nguo[emoji23]
 
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
Kuna ile guiness sijui inaandikwaje ni chungu jamaniiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa naacha pombe kwa msimu, hasa nikitaka kupungua uzito, maana kama nakunywa siwezi kufanya mazoezi wala dayati.

Ila nikiacha kama miezi mitatu napungua kama kilo 5 - 7, then naanza tena.
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..
Labda kwa vile nilikua najua sitarudi mwenyewe nitakua na mgeni!..
Ila Pombe zilikua zinanikondesha sana mana nikitoka kunywa sili chochote zaidi ya wali halafu asubuhi sikuwahi kuwa na hangeover toka siku flani nilikunywa cocktail imemixiwa dry gin kibao nikaamka saa 11 jioni[emoji23].
 
Zamani hata Supu nilikua situmii!!..
au hadi leo situmii maziwa fresh!, mtindi uwe na sukari nyingii!!.. Sasa hiyo utumbo tabu tupu!..
Duuh mpaka supu. Ulikua unakosa raha za dunia bora ulivyoanza tumia.
Maziwa kweli wengine hawayapendi.

Utumbo wa nazi umewahi jaribu? [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..
Labda kwa vile nilikua najua sitarudi mwenyewe nitakua na mgeni!..
Ila Pombe zilikua zinanikondesha sana mana nikitoka kunywa sili chochote zaidi ya wali halafu asubuhi sikuwahi kuwa na hangeover toka siku flani nilikunywa cocktail imemixiwa dry gin kibao nikaamka saa 11 jioni[emoji23].

Mimi nakula sana wakati nakunywa, mishkaki, nyama, yaani ni fujo.

Kwa hiyo najikuta uzito unaongezeka balaa.
 
Back
Top Bottom