Yani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.Duuh mpaka supu. Ulikua unakosa raha za dunia bora ulivyoanza tumia.
Maziwa kweli wengine hawayapendi.
Utumbo wa nazi umewahi jaribu? [emoji39][emoji39][emoji39]
Nimecheka jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.
Me na ishu zozote za Utumbo hunilishi!!... ndizi utumbo ukinipa nakutengea wote pembeni nakula ndizi, nahisi kama nakula condom vile 😉
Mayai, maziwa fresh, mtindi bila sukari nakula. Ila sausage hapana jamani. Mbaya sana sijui mnazipendea nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona sasa kumbe una kituko chako, yani sausage huliii???.. usikute hadi mayai [emoji23][emoji23]
kuku, mbuzi, maini hamyaoni?tule nini kaka mthibitishwa?
Harufu yake kwanza, haijulikani imekaa muda gani kwenye pakt and Tasteless [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]una imagine nini sasa??... sausage tamu mbona [emoji2]
Sasa nilionja guiness aisee mbayaaa,castle milk kali nishagaacha kunywa hayo[emoji23] Guiness sijawahi ila hata serengeti Premium kama unakunywa maji moto!..
Silisahau Castle milk stout lile dude na 6% yake si mchezo!..
Soseji ni mbaya kweliiMayai, maziwa fresh, mtindi bila sukari nakula. Ila sausage hapana jamani. Mbaya sana sijui mnazipendea nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaa kumbee basi unaipasha au kaanga na vitunguu, ukimaliza na kapilipili balaa [emoji23].Harufu yake kwanza, haijulikani imekaa muda gani kwenye pakt and Tasteless [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hata mim dada yao nawashangaa sanawatu mnaokula huyo mdudu mchafu mi kaka enu nawashangaa sana
mpe G mbili halafu mpanulie uone sebene!... halinaga loki asubuhi lile!.Sasa nilionja guiness aisee mbayaaa,castle milk kali nishagaacha kunywa hayo
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app