Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Duuh mpaka supu. Ulikua unakosa raha za dunia bora ulivyoanza tumia.
Maziwa kweli wengine hawayapendi.

Utumbo wa nazi umewahi jaribu? [emoji39][emoji39][emoji39]
Yani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.
Me na ishu zozote za Utumbo hunilishi!!... ndizi utumbo ukinipa nakutengea wote pembeni nakula ndizi, nahisi kama nakula condom vile 😉
 
Nimecheka jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kula ule wa taulo basi. Pole sana mimi sausage sili kabisa.
 
Ona sasa kumbe una kituko chako, yani sausage huliii???.. usikute hadi mayai [emoji23][emoji23]
Mayai, maziwa fresh, mtindi bila sukari nakula. Ila sausage hapana jamani. Mbaya sana sijui mnazipendea nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayai, maziwa fresh, mtindi bila sukari nakula. Ila sausage hapana jamani. Mbaya sana sijui mnazipendea nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
una imagine nini sasa??... sausage tamu mbona [emoji2]
 
Harufu yake kwanza, haijulikani imekaa muda gani kwenye pakt and Tasteless [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
hahaa kumbee basi unaipasha au kaanga na vitunguu, ukimaliza na kapilipili balaa [emoji23].
Naomba date na wewe, nikakulishe sausage!😉
 
Back
Top Bottom