Taarifa Muhimu kwa JF!.

Hata sio kari au chungu ila yana shughuli wakati wa kuondoka!.. yanabadili centre of gravity!..[emoji23]
Balimi bia yangu kanda yangu tena!. unatuangusha wasukuma wewe binti!..[emoji1]
Weka picha ya mtu akiokunywa ego au seneta niamini

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
hahaa kumbee basi unaipasha au kaanga na vitunguu, ukimaliza na kapilipili balaa [emoji23].
Naomba date na wewe, nikakulishe sausage!πŸ˜‰
[emoji23][emoji23][emoji23]yani hata ikiungwa na nazi sausage mbaya jaman. Mnakula kwa mazoea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…