[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna loloteMrs Van unaona hasara za kutopata kinywaji hizi!..
Unajua saa 5 hii bado mchana sana Mama Sabrina halafu wewe ushalewa unasubiri wekwa begani tu!.π
Bado nimelalaMrs Van unaona hasara za kutopata kinywaji hizi!..
Unajua saa 5 hii bado mchana sana Mama Sabrina halafu wewe ushalewa unasubiri wekwa begani tu!.π
Special kwako baby. Jiandaebby tutaenda this weekend, ila usije tu na Neybright
ok Love, will do ..hope will be our normal time sio?Special kwako baby. Jiandae
lovely... now and always my queenok Love, will do ..hope will be our normal time sio?
Waiting eagerly to see you hun
Mazoea tu lakini kama ambavyo wewe ulikua hupendi supu [emoji39][emoji39][emoji39]sometime sausage na juice usiku umepita hivoo.. Zipo vizuri unaogopa tu π
dat is y i love ulovely... now and always my queen
sausage nilishaonja ya kila upishi ila imenishinda. nyumbani kwenye freezer hazikosi ila mimi sili kabisa.Supu nilishaipenda baada ya kuonjeshwa, ndo nikuonjeshe na wewe Sasuage sasa!π
love u too sweetheartdat is y i love u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]17 likesKumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana sana vijijini wakati KITIMOTO ni nyama rosti yenye ndimu na pilipili pembeni. Mara nyingi huliwa na ndizi ama ugali na kushushiwa na soda, juice au pombe!..
Nice Lunch!.
Abeeh bebe