Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Tule tudogo twa kijani eti tuzurii kweli ,siku nyingine sie tunakunywa castle lager mmoja akiona mwenzie anakunywa hiki na mwingine anataka hicho hicho[emoji23]Hizi Serengeti Lite zimewekewa nini? Maana naona watu wengi wamekimbilia huko!
Njoo nikupe ndizi[emoji12] [emoji12]Tuongee bas chemba mkuu unipe yako na ugwadu hatar ntakupa kias unachotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wap bibie nikuletee MwenyeweSawa nipitie. Mimi napenda roast na ndizi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Unavuta picha navyokunjwa kama tairi eeNaitamani safari yenu kurudi nyumbani[emoji39]
Mkuu Vp kuhusu papa Njoo bas Tuongee Kama unanipa??Hizi lite lite mnazipendea nini, beer unakunywa crate na bado unaweza kusimama, kutembea na hata kufanya kazi ngumu.
Beer unywe ulewe kiasi hata kuamka tu baada ya 8hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee mi sitaki kulewa maana nikilewa tu nataka tuondoke tukalaleHizi lite lite mnazipendea nini, beer unakunywa crate na bado unaweza kusimama, kutembea na hata kufanya kazi ngumu.
Beer unywe ulewe kiasi hata kuamka tu baada ya 8hrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kuleta inakua imepoa inapunguza uhondo. Raha ya roast kula huku unapuliza [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hakuna kipindi kizuri kama hicho cha kulala, ni kama mwanafunzi na mapumzikoHeeee mi sitaki kulewa maana nikilewa tu nataka tuondoke tukalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuuHakuna kipindi kizuri kama hicho cha kulala, ni kama mwanafunzi na mapumziko
Sent using Jamii Forums mobile app