Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachopenda mimi nawe kipende kithaminikiswahili kipana bana!.. Kumpendaje unamaanisha kwanza!?..
nikuletee na wine uonje!?..Sijawah onja kitimoto lakin kwa harufu nayoisikiaga ya kitimoto haifikii kuki wala samaki [emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kula kitimoto,ila wine nakunywanikuletee na wine uonje!?..
Nawatafuta Panya road msiondoke!..Yaaan wee akili zako [emoji23][emoji23] Mi na G tunapiga wewee ,jana tu nimembomoa mtu halaf G akaniambia Safi mke wangu,sasa Yeye ndio balaaa kwa mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ,nipo nakandamiza mabia hapa😳😱 unazidi haribu Cv sasa!!..
Jogoo hafii kwa utitiri Hata nanasi Lina miiba nje kumbe ndan litamu hiyo mikwara haisaidiiYaaan wee akili zako [emoji23][emoji23] Mi na G tunapiga wewee ,jana tu nimembomoa mtu halaf G akaniambia Safi mke wangu,sasa Yeye ndio balaaa kwa mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni sumu kaa mbaliJogoo hafii kwa utitiri Hata nanasi Lina miiba nje kumbe ndan litamu hiyo mikwara haisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaharibu kwanza ntakubebea umkute kwangu utatafuna mifupa utakavyo!..Mkuu vunga Nlitaka niende nikamtafune ila usimwambie Tafadhali atashtuka
Sent using Jamii Forums mobile app