mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Daah bas mkuu siji tena Nlitaka awe pekee yake Ngoja nikalale tuuhuyo Mama Sabrina mswahili kweli humuezi ngoja nitangulie kukutana nae akiwepo nitakushtua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah bas mkuu siji tena Nlitaka awe pekee yake Ngoja nikalale tuuhuyo Mama Sabrina mswahili kweli humuezi ngoja nitangulie kukutana nae akiwepo nitakushtua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuaminia u knowNavaa na koti yellow watakao lewa waone trafiki sawa watakaoona mjenzi sawa mradi naimalisha ulinzi!..
We wataka kunilinda peke yangu tu? Humpendi G wangu ee!ohooo disko masai mjengoni!..
kwani ukienda haribu mkose wote utapungukiwa kitu unadhani!?.. kaharibuuu🙂Daah bas mkuu siji tena Nlitaka awe pekee yake Ngoja nikalale tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah onja kitimoto lakin kwa harufu nayoisikiaga ya kitimoto haifikii kuki wala samaki [emoji57][emoji57]sabby sabby yani Kuku unaifananisha na Kitimoto mamaa!!..
Yaaan wee akili zako [emoji23][emoji23] Mi na G tunapiga wewee ,jana tu nimembomoa mtu halaf G akaniambia Safi mke wangu,sasa Yeye ndio balaaa kwa mkonokwani ukienda haribu mkose wote utapungukiwa kitu unadhani!?.. kaharibuuu🙂
Sawa fanya hivyo sasaHujawahi toka mwenyewe lazima una kenzio sasa sikia kaambie kuna mlinzi anakuja atakua anakaita kamfatie vinywaji asije poteza kazi.
Mkuu vunga Nlitaka niende nikamtafune ila usimwambie Tafadhali atashtukakwani ukienda haribu mkose wote utapungukiwa kitu unadhani!?.. kaharibuuu🙂