Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahha nakushinda mimi wa mkoani Wick acha zakoMe wa kolomije sipajui Rombo. 🙂
Atakupa ShunieAaahh sasa si kaninyima Papa acha nile kitimoto tu!..
Unataka uje uimarishe ulinzi?[emoji23][emoji23] hutaki nije msaidia G ulinzi?
[emoji23][emoji23][emoji23] muone vileNdo mana nakupenda!.. hujui zungukaaa!!
Haizidi kuku au samakiDuu upate pilipili mbuzi inayonukia vizuri kitimoto kizuri na ugali wa muhogo mhm yaani weee acha tu
huyo Mama Sabrina mswahili kweli humuezi ngoja nitangulie kukutana nae akiwepo nitakushtua.
Kweli nipo na baba la baba ,nimekaa mwanzoni tu hapahuyo Mama Sabrina mswahili kweli humuezi ngoja nitangulie kukutana nae akiwepo nitakushtua.