Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Tule tudogo twa kijani eti tuzurii kweli ,siku nyingine sie tunakunywa castle lager mmoja akiona mwenzie anakunywa hiki na mwingine anataka hicho hicho[emoji23]Hizi Serengeti Lite zimewekewa nini? Maana naona watu wengi wamekimbilia huko!
Sent using Jamii Forums mobile app