Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ceres [emoji39][emoji39][emoji39]Bavaria or Ceres!?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ceres [emoji39][emoji39][emoji39]Bavaria or Ceres!?..
Hilo JLW nalipataje nisaidie mkuu Hata pm Naomba nielekeze tuupitia na JLW kupata code ya kiwanja leo wanapojaa..
Pombe ya starehe mwanaume ndovu!..sasa unakunywa lite kama Mama Sabrina mkuu!...Unless
Uko vyema[emoji23][emoji23] kama unanisoma vile.
ohoo kwahiyo kwingine unakunywa ipi!?
Huyo nampata ila wakatoliki kwa wakorea wanagonga mwamba kwa kuumla huyo.mbuzi katoliki je!?..
😀😀😀Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana sana vijijini wakati KITIMOTO ni nyama rosti yenye ndimu na pilipili pembeni. Mara nyingi huliwa na ndizi ama ugali na kushushiwa na soda, juice au pombe!..
Nice Lunch!.
aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!Heineken - nikiwa na hela
Safari - nikitaka kulewa haraka
Jack Daniels - hapa nikiwa nimepata hela ambayo siyo ya mawazo na haiko kwenye budget
Konyagi - mara mbili kwa mwezi, hasa siku nikitaka kusafisha tumbo
Kisa cha kustaafuMwenyewe silewi mestaafu😀🙂
😀👍Tusapoti chagga movement tafadhali!..
[emoji1][emoji1][emoji1]hatariPombe ina hamia kiunoni kila nikinywa, inakua tabu sasa!..