Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Ceres [emoji39][emoji39][emoji39]
IMG_20180829_215706_246.jpg
 
Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana sana vijijini wakati KITIMOTO ni nyama rosti yenye ndimu na pilipili pembeni. Mara nyingi huliwa na ndizi ama ugali na kushushiwa na soda, juice au pombe!..


Nice Lunch!.
😀😀😀
 
Heineken - nikiwa na hela
Safari - nikitaka kulewa haraka
Jack Daniels - hapa nikiwa nimepata hela ambayo siyo ya mawazo na haiko kwenye budget
Konyagi - mara mbili kwa mwezi, hasa siku nikitaka kusafisha tumbo
aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!
 
Back
Top Bottom