Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

[emoji23][emoji23][emoji23]yani hata ikiungwa na nazi sausage mbaya jaman. Mnakula kwa mazoea tu
sometime sausage na juice usiku umepita hivoo.. Zipo vizuri unaogopa tu 😀
 
Mazoea tu lakini kama ambavyo wewe ulikua hupendi supu [emoji39][emoji39][emoji39]
Supu nilishaipenda baada ya kuonjeshwa, ndo nikuonjeshe na wewe Sasuage sasa!🙂
 
Supu nilishaipenda baada ya kuonjeshwa, ndo nikuonjeshe na wewe Sasuage sasa!🙂
sausage nilishaonja ya kila upishi ila imenishinda. nyumbani kwenye freezer hazikosi ila mimi sili kabisa.
 
Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana sana vijijini wakati KITIMOTO ni nyama rosti yenye ndimu na pilipili pembeni. Mara nyingi huliwa na ndizi ama ugali na kushushiwa na soda, juice au pombe!..

Nice Lunch!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]17 likes

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom