britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ndio mlichobakiza huko Ccm, kupeana tu ulaji Ila kujenga nchi mlishashindwa.Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo
Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja,
Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo
Safu ya ushindi inapangwa wale wale wanarejea kukipa chama nguvu
Pili wale wasaidizi mshahara umeongezwa kimya kimya
2025 …..
Nyoosha maelezoKakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo
Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja,
Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo
Safu ya ushindi inapangwa wale wale wanarejea kukipa chama nguvu
Pili wale wasaidizi mshahara umeongezwa kimya kimya
2025 …..
DP Weldi hapana!Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo
Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja,
Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo
Safu ya ushindi inapangwa wale wale wanarejea kukipa chama nguvu
Pili wale wasaidizi mshahara umeongezwa kimya kimya
2025 …..
Siku hizi Huna lolote bora ukabashiri kwenye mpira wa miguu tuKakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo