britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo
Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja,
Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo
Safu ya ushindi inapangwa wale wale wanarejea kukipa chama nguvu
Pili wale wasaidizi mshahara umeongezwa kimya kimya
2025 …..