Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Nyaraka hii, sahihi zimefichwa kwa sababu za kisheria tu. Mahakama ya Ardhi Nimekwisha lipia usajili na subiri hati yao tu muda wowote.@DON NALIMISON.

IMG_20200629_193832_081.jpg
 
Wewe tumia JF tu achana na Facebook na YouTube na Instagram hapa Jf utakuwa safe huwezi kudondokea police maana ukiandika matusi yanafutwa ..

Pia tupe namba za Familiya yako ili tukutafutie msaada wa matibabu ya akili. Ili usije kurudi jela.
 
Kisandu anahitaji ushauri au ikibidi matibabu, dish linaanguka muda sio mrefu! kama kuna member humu yupo karibu naye atoe msaada wa haraka!
 
Back
Top Bottom