Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

Vipi hii
Screenshot_20200630-181930.jpeg
 
Kuna gharama zinazohusiana na kuapa kwa maana ya kutengeneza hyo deed poll inategemea na anaesimamia kiapo lakini kwa ukienda kuapia mahakamani haziwezi kuzidi 10,000. Ukishamaliza unaenda kwa msajili wa nyaraka na deed poll yako ikishapitishwa unalipia 32000 . Kwa hyo haiwezi kuzidi 50000.
sawa sawa na wanahtaji documents gan??? je naweza kwenda hata peke yangu au n lazma niende na ndugu/mtu wa karibu/mzazi

afu n mahakama gan inashughulikia hii issue,,,mahakama ya mwanzo au ya wilaya au ipi?
 
Hiki ni kiapo kama viapo vingne. Sio lazima mahakamani hata ukienda kwa wanasheria/mawakili wanakutengenezea ila ukishatengenezewa lazima kipitisho na msajili wa nyaraka. Sio lazima kwenda na mtu ni wewe na nyaraka zako.

sawa sawa bro nmekupata.
 
Nimekula viapo kuanzia sasa
Naitwa
Masulupwete mpopoloje...!

Mm
 
Nobody gives a fcuk because you're a nobody anyway hata kama ungejiita Mage Kunambi
 
Vipi na utemi umeacha? Sio mtemi kisandu Tena? [emoji23]
 
Huyu jamaa kwanini walimfunga badala ya kumpeleka Milembe? Hakimu aliyemfunga huyu jamaa na yeye apelekwe Milembe maana akili zake hazipo sawa.
 
Back
Top Bottom