Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Vipi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitag mkuuSo you think that your fate was caused by your former name?
Sidhani kama atanijibu aise.Akikujibu nitag mkuu
Fukua makaburi mkuu
sawa sawa na wanahtaji documents gan??? je naweza kwenda hata peke yangu au n lazma niende na ndugu/mtu wa karibu/mzaziKuna gharama zinazohusiana na kuapa kwa maana ya kutengeneza hyo deed poll inategemea na anaesimamia kiapo lakini kwa ukienda kuapia mahakamani haziwezi kuzidi 10,000. Ukishamaliza unaenda kwa msajili wa nyaraka na deed poll yako ikishapitishwa unalipia 32000 . Kwa hyo haiwezi kuzidi 50000.
sawa sawa na wanahtaji documents gan??? je naweza kwenda hata peke yangu au n lazma niende na ndugu/mtu wa karibu/mzazi
afu n mahakama gan inashughulikia hii issue,,,mahakama ya mwanzo au ya wilaya au ipi?
sawa sawa bro nmekupata.Hiki ni kiapo kama viapo vingne. Sio lazima mahakamani hata ukienda kwa wanasheria/mawakili wanakutengenezea ila ukishatengenezewa lazima kipitisho na msajili wa nyaraka. Sio lazima kwenda na mtu ni wewe na nyaraka zako.
Niambie Wa StendiNantombe mushi
Niambie Wa StendiNantombe mushi
Nzuri baba nesimiso mbeeNiambie Wa Stendi
Nzuri baba kee za hukoNiambie Wa Stendi
Ana kipaji flani hivi bado nakitafutia jina ila shortly ni Stress manAhaaa hivi huyu Kaka ana nini jamani?
Aisee