Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

Wewe tumia JF tu achana na Facebook na YouTube na Instagram hapa Jf utakuwa safe huwezi kudondokea police maana ukiandika matusi yanafutwa ..

Pia tupe namba za Familiya yako ili tukutafutie msaada wa matibabu ya akili. Ili usije kurudi jela.
 
Kisandu anahitaji ushauri au ikibidi matibabu, dish linaanguka muda sio mrefu! kama kuna member humu yupo karibu naye atoe msaada wa haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…