niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
ili kubadili jina wanahtaji document zipi na zipi?Nyaraka hii, sahihi zimefichwa kwa sababu za kisheria tu. Mahakama ya Ardhi Nimekwisha lipia usajili na subiri hati yao tu muda wowote.@DON NALIMISON.
View attachment 1492505View attachment 1492505
Kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyaraka hii, sahihi zimefichwa kwa sababu za kisheria tu. Mahakama ya Ardhi Nimekwisha lipia usajili na subiri hati yao tu muda wowote.@DON NALIMISON.
View attachment 1492505View attachment 1492505
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu kama nyinyi ndio mnasababisha wengine wacheke ili kupunguza stress walizo nazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahaaa hivi huyu Kaka ana nini jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado unahangaika na majina. Acha kuishi kwa ndoto, Kwamba ukijiita Don ndio utakua Laizer?
Wewe ndiye uliyemshauri 'best' yako abadili jina?Na ccm
[emoji16][emoji16][emoji16]Don Nalimison amelenga uchaguzi October, angeendelea na jina lake asingekuwa na kigezo cha kugombea nafasi yoyote ya kisiasa hivyo ujaja wa Don Nalimison akaona kubadili jina ili asiwekee kikwazo/vikwazo na hata akiwekewa kikwazo aweze kupinga kisheria.
Hakimu : Mlalamikaji una ushahidi kuwa mlalamikiwa hana sifa za kugombea nafasi yoyote ya kichama ?
Mlalamikaji : ndio, ndugu Hakimu Don Nalimison alitumikia kifungo hivyo hana sifa.
Hakimu : Mlalamikiwa una chochote cha kuieleza hii Mahakama tukufu
Don : Ndio, Kipindi nasajiliwa kuingia kwenye gereza la Butimba waliniandikisha kwa jina gani ?
Mlalamikaji : Deogratius Kisandu
Don : Kwenye hii kesi imesajiliwa kwa jina lipi ?
Mlalamikaji : Don Nalimison
Don : Nenda ukamtafute Deogratius Kisandu, Don Nalimison hajawahi kutiwa hatiani na Mahakama yoyote ndani hata nje ya nchi.
Hakimu : Kesi imehairishwa hadi ushahidi wa kesi hii utakapokamilika, Mlalamikiwa ana sifa ya kugombea nafasi yoyote pasipo pingamizi.
Wewe ndiye uliyemshauri 'best' yako abadili jina?
Unamruka best yako kweli!? Ahahahahha!!!Mimi sina ushambenga kama wewe
Hata mitume walibezwa hivi hivi,
sasa anza kutafuta wafuasi polepole
tutakusikia tu muda si mrefu na kanisa lako lenye jina refu mpaka tunachelewa maombi kwa kusoma ubao wa jina la kanisa nje.