Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
= JKHuyu rais anapenda sana safari
Tangu apitishwe Ina Ile kitu ya mwaka 1977 , safari ni dar,Dodoma na mwanza . Ataweza kufika wilaya ya Serengeti ambako ndege hazitui?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma
Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali
View attachment 1885097
wakiwa dar wanalipana posho za nights na nje ya kazi ambazo ni gharama kwa wananchiNadhani angebaki hukohuko tu kubana matumizi hizi safari za kila siku Dom-Dar na Dar-Dom hazina afya wa maendeleo ya nchi
Tozo zipo mkuu hizo safari kama hakijatokea kitu.Nadhani angebaki hukohuko tu kubana matumizi hizi safari za kila siku Dom-Dar na Dar-Dom hazina afya wa maendeleo ya nchi
Hii ndege itakomaHuyu rais anapenda sana safari
Kwa style hii ya matumizi nchi kusonga ni ndoto.wakiwa dar wanalipana posho za nights na nje ya kazi ambazo ni gharama kwa wananchi
Miaka 4 mingine ya hasaraNdicho anachoweza!
Kwa style hii ya matumizi nchi kusonga ni ndoto.wakiwa dar wanalipana posho za nights na nje ya kazi ambazo ni gharama kwa wananchi
Huyu mama ni hasara tupuBaada ya kuwasema jana leo wamerudi dodoma...Yaani unafanyia kazi za kiserikali Ikulu Dar karibia mwezi
Sio safariDar--- Dom nayo ni safari??!!,
Wao hawajaliwakiwa dar wanalipana posho za nights na nje ya kazi ambazo ni gharama kwa wananchi