... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Soma hii
Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!