Nimeona kwa macho yangu wakichoma bendera ya marekani huku wakiongea maneno ya kiislam.
Mwanakijiji unasema hapendelewi mtu na anahojiwa yeyote lini ulihoji kauli ya papa Benedict dhidi ya waislam mwaka jana? kama ulivyotoa kauli juu ya makahama ya Kadhi?
Kwa hiyo tuseme unamuamlia njia anayotaka kuufikisha ujumbe? Pengine yeye ameona hiyo njia ndio iliyo bora zaidi!
Mimi sijawagawa waislam, bali wewe umeamua kuwasemea waislam wote inavyojionyesha katika bandiko lako hilo. Lisome tena kama unadhani ninakusingizia.
Hapa namsapoti mkjj kwa nguvu zote!Waanze kuandamana na kupinga ufisadi ambao unawaletea umasikini..mambo ya kushupalia dini..nani kasema ziara ya Bush ni ya kidini?Hao masheick washughulikie maendeleo ya wananchi na sio kushupalia siasa kwa manufaa yao binanfsi huku waumini wakiteseka kwa umasikini!Wasiwe watumwa wa kifikra kwa kufuatiliza tu bila msingi..huko pakistani wakichoma bendera na wao wachome..serikali yetu haina dini!Ni sawa wakiandamana..lakini kwanza wafanye maadamano yenye kuwagusa wazalendo wote bila ya kujali dini!SISI TUNA VITA VYETU DHIDI YA UFISADI! KIPINDI HIKI TUTAIPA KIPAUMBELE KABLA HATA YA HIYO VITA DHIDI YA UGAIDI KATI YA WAARABU NA WAZUNGU!of course hawana ugomvi na nchi yao isipokuwa pale watakapoona maslahi yao yanatishiwa. Wao tatizo la BoT haliwaumi, Richmond haiwahumi, IPTL haiwahumi, Rada haiwahumi, n.k It is Friday!!! Hivyo vyote haviwahumi na hawatavipigia kelele au kuandamana kwa sababu havitishii maslahi yao. Wenye ugomvi na nchi yao wanaonekana na hawachagui chanzo!!
Hii tabia ya kuchoma bendera ya marekani (na kudai kuwa Death to America) ni tabia ya militants iliyoaniza mashariki ya kati na kusambaa. Inaelekea kuwa sasa hivi imeanza kuingia Tanzania; kwa hiyo Tanzania tujihadghali kwa vile hii ni dalili kuonyesha kuwa na sisi tumeanza kuwa na hao militants.
Hii isue ya Bush mie nafikiri viongozi wa dini ndio wanajaribu kuawaaminisha Bush anapinga uislamu.
kwa kifupi Bush ni mafia na Mafia hua haangalii athali kwa jamii isipokua maslahi kama vile tu walivyo mafia wa BOT.
Kwani Rusia kwa Putin anakotaka kuelekeza makobora nako anawasaka waislamu???
mbona zipo nchi nyingi tu za kiislamu zinazompa mafuta bila matatizo nawala hawagusi kwani wao sio waislamu???
Naona unajaribu kujificha lakini haiwezekani...ni kweli una ujanja na umejitahidi sana!Naona unashindwa kuelewa kuwa tuna vita dhidi ya ufisadi nchini mwetu..unashupalia vita vya kidini..ofcourse kati ya mabwana zenu wazungu na waarabu!Mi naona uache huo utalii wako na uwe mzalendo!Uombe radhi na utangaze officially kwamba umeacha utalii na sasa wewe ni mzalendo!Bush ana matatizo makubwa..hio iko wazi!Na sisi watanzania tuna matatizo makubwa humu nchini kuliko hata waliyonayo hao wenzetu wazungu na waarabu!Huko wanakufa kwa kulipuana na sisi tunakufa kwa njaa,magonjwa na udini na ukabila!udini ambao una mpakazia mkjj na ukabila ambao unamrundikia Mbowe!Unataka tusahau ufisadi wa Kikwete na serikali yake!Mtalii naona uache hayo maramoja na kuwashurutisha masheick waungane na wananchi katika vita vyetu vya ufisadi na kujaribu kuwasaidia wananchi kwenye vita vya kujikwamua kiuchumi!Msomi mzima huna upeo kiasi hiki? ni nini udini? basi na mafuta tusinunue toka Middle East. kina Mtikila walikuwa wanaandamana jee wametoka mashariki?
kiongozi wa TLP leo rwekamwa alikanganya bendera ya Taifa letu hadharani ametoka middle East?
kumbe ndio maana umekuwa ukimtuhumu Professor Kighoma Malima humu bila ushahidi. yaani ndugu yetu hata maiti unamchukia?
kama wewe mkweli juu ya Marehemu malima na uadilifu wake kwa nchi tupatie ripoti ya M.V BUKOBA?
mbona Mkapa aliitia kapuni? Malima kwa uadilifu wake alipinga ununuzi wa ile meli kuwa ni bomu aliyeleta tenda ile ni sir Kahama suala lile kwenda kwa Mwalimu Nyerere akamuunga Mkono Kahama halafu Malima akaamua kujiuzulu, na kwenda zake kufundisha Marekani.
Matokeo ya Malima tumeyaona wote kifupi ni majuto mjukuu.
mzee acha roho mbaya ya udini sote ni binadamu na nchi ya wote.ni bora mtuambie kuwa mko kwenye CRUSADE inawezekana ni wewe uliyepinga OIC bila kuzingatia maslahi makubwa kwa nchi mwenzetu museveni kawakubali OIC anakula kwa mrija sie tufe na udini wetu.
kama nchi za middle East hazifai vipi chuo kikuu cha Dodoma wanakifadhili? tukatae pesa zao.mpelekeni Bush atumalizie chuo kama ni mkweli.
NI KWELI KABISA!WOTE WAZUNGU NA WAARABU WANATUMIA DINI KWA MASLAHI YAO BINAFSI!NA SISI WAAFRIKA TUNAFUATILIZA TU KAMA WATUMWA WA KIMAWAZO!BUSH MWENYEWE ALIUTUMIA UKRISTO KUINGIA MADARAKANI..LAKINI NI YEYE ALIYEILINDA FAMILIA YA BIN LADEN KUHAKIKISHA INATOKA MAREKANI SALAMA..NI YEYE ALIYEIVAMIA IRAQ LICHA YA KWAMBA MILITANTS WOTE WALITOKEA SAUDI!NA NI HIVI MAJUZI TU ALIKUWA AKINYWA NAO CHAI HUKO MECCA!SISI WAAFRIKA NI MUDA WETU WA KUSHUPALIA MAMBO YETU NA KUACHA KUWA NA FIKRA ZA KITUMWA..ZA KUNGOJEA BWANA WAKO ANASEMA NINI!WAPI VIONGOZI KAMA HAO?Ninakubaliana na wewe kuhusu maslahi yanayomsukuma Bw. Kichaka. Hata huko Iraq watu wanataka tuamini kuwa alivamia kwa sababu za kidini. Ni maslahi mbele kila sehemu, dini pembeni.
Sawa mkuu Mushi,naomba tuanze na ripoti ya M.V BUKOBA ambayo Mkapa alikabidhiwa kimya hadi leo hii.Naona unajaribu kujificha lakini haiwezekani...ni kweli una ujanja na umejitahidi sana!Naona unashindwa kuelewa kuwa tuna vita dhidi ya ufisadi nchini mwetu..unashupalia vita vya kidini..ofcourse kati ya mabwana zenu wazungu na waarabu!Mi naona uache huo utalii wako na uwe mzalendo!Uombe radhi na utangaze officially kwamba umeacha utalii na sasa wewe ni mzalendo!Bush ana matatizo makubwa..hio iko wazi!Na sisi watanzania tuna matatizo makubwa humu nchini kuliko hata waliyonayo hao wenzetu wazungu na waarabu!Huko wanakufa kwa kulipuana na sisi tunakufa kwa njaa,magonjwa na udini na ukabila!udini ambao una mpakazia mkjj na ukabila ambao unamrundikia Mbowe!Unataka tusahau ufisadi wa Kikwete na serikali yake!Mtalii naona uache hayo maramoja na kuwashurutisha masheick waungane na wananchi katika vita vyetu vya ufisadi na kujaribu kuwasaidia wananchi kwenye vita vya kujikwamua kiuchumi!
NAONA SASA UNALETA ZILE SIASA ZA SPINNING...SITAKI KUJIINGIZA KWENYE MTEGO WAKO KWA KUJARIBU KUSEMA KWAKUWA MIMI NI MCHAGGA BASI SIO MTANZANIA!KWA WEWE KUTOKUELEWA KWAMBA MREMA MWENYEWE ALIPIGA KELELE KUHUSU WATU WALIOFUKIWA UKO MGODINI BULYANHULU!KWAMBA NI MKOA WA KILIMANJARO ULIOKUWA NA VYAMA VYA WAZAWA VYENYE KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI KWA KUPAMBANA NA SERA MBOVU ZA WAKOLONI..UMESAHAU KNCU!UMESAHAU KWAMBA SIASA ZA UBAGUZI NDIZO ZILIZOTUMYIMA MAENDELEO KWA KUKUMBATIA WATU WASIO NA NIA NJEMA NA NCHI YETU!UKABILA UNAFANYA MAMBO YAKE KENYA!MIMI NAPINGA UKABILA KWA NGUVU ZANGU ZOTE KWASABABU NIMESHAWAHI KULETEWA CHUKI KWASABABU YA KABILA LANGU..HIYO HAINA NAFASI KWANGU!Sawa mkuu Mushi,naomba tuanze na ripoti ya M.V BUKOBA ambayo Mkapa alikabidhiwa kimya hadi leo hii.
mwambie Mbowe au Slaa wafuatilie sisi tutawaunga mkono.au haumii na maisha ya watu waliopotea? kwa vile wenzetu mnatoka mkoa unaopenda pesa mnaumia kwa B.O.T tu? kuna maisha ya watu yalipotea na nyinyi mnalia na Kikwete hakuwepo.
lieni na Watu wawili waliopasuliwa MOI kimakosa au kwa vile hakuna maslahi ya pesa?
Sawa mkuu Mushi,naomba tuanze na ripoti ya M.V BUKOBA ambayo Mkapa alikabidhiwa kimya hadi leo hii.
mwambie Mbowe au Slaa wafuatilie sisi tutawaunga mkono.au haumii na maisha ya watu waliopotea? kwa vile wenzetu mnatoka mkoa unaopenda pesa mnaumia kwa B.O.T tu? kuna maisha ya watu yalipotea na nyinyi mnalia na Kikwete hakuwepo.
lieni na Watu wawili waliopasuliwa MOI kimakosa au kwa vile hakuna maslahi ya pesa?
NI KWELI KABISA!WOTE WAZUNGU NA WAARABU WANATUMIA DINI KWA MASLAHI YAO BINAFSI!NA SISI WAAFRIKA TUNAFUATILIZA TU KAMA WATUMWA WA KIMAWAZO!BUSH MWENYEWE ALIUTUMIA UKRISTO KUINGIA MADARAKANI..LAKINI NI YEYE ALIYEILINDA FAMILIA YA BIN LADEN KUHAKIKISHA INATOKA MAREKANI SALAMA..NI YEYE ALIYEIVAMIA IRAQ LICHA YA KWAMBA MILITANTS WOTE WALITOKEA SAUDI!NA NI HIVI MAJUZI TU ALIKUWA AKINYWA NAO CHAI HUKO MECCA!SISI WAAFRIKA NI MUDA WETU WA KUSHUPALIA MAMBO YETU NA KUACHA KUWA NA FIKRA ZA KITUMWA..ZA KUNGOJEA BWANA WAKO ANASEMA NINI!WAPI VIONGOZI KAMA HAO?
HAKUNA ANYEMTETEA BUSH HAPA!WATU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA!TUNATAKA MAMBO YANAYOTUUNGANISHA BEYOND OUR RELIGION..OUR TRIBES ETC!NDIO MOVEMENT HIYO!NI VITA DHIDI YA UFISADI!HIYO DHIDI YA UGAIDI NI JUU YENU MNAOSHUPALIA NA WADINI WENZENU!HAPA NI ISSUE YA UTAIFA..UTAIFA WA TAIFA LETU NA SIO WA WAARABU,WAZUNGU AMA WENGINE WENYE FIKRA ZA KITUMWA!Mwanakjj,Jmushi1... nilimjibu mwezio huko ktk post za nyuma kwanini waislam hawaandamani kwa ajili ya Hayo mambo unayotaka waandamane...inaonekana either hutai kuelewa au una majibu yako mfukoni...(rudi nyuma kidogo tu)
Alichokifanya mtalii ni kukuweka wazi juu ya mambo yanayotokea huko US na EU ktk kila ujio wa Bush kutakuwa na maandamano. mtalii hii link baadhi sehemu/ISP ipo blocked watu wanaweza wasiione, mie ilibidi nitumie njia za ki-IT kuuona kuwa ulimwenguni bush hatakiw.
BBC usiku huu imemhoji Generali Ulimwengu..(sikiliza plz)..
Generally anasema Bush anakuja kwa ajenda 2. moja ugaidi na pili AFRICOM...Watetezi wa BUSH...huu ndio msaada kwenu? Salva kahojiwa nae anabwabwaja..eti..kawaulize watu wa hospitali ya Amana..lkn baadae akadai Bush anakuja kusaidia UKIMWI...?bushit...this is ur fighting for?
BBC wanasema waloandamana si tu waislam bali na UDASA...(tunashangaa kumuoga msomi kichuguu kubwabwaja hapa JF...wakati wanaume walikuwa barabarani leo)
Kichuguu na wenzako..HIVI kwanini mnachukia bendera ya US kuchomwa moto?
Mwanakjj,Jmushi1... nilimjibu mwezio huko ktk post za nyuma kwanini waislam hawaandamani kwa ajili ya Hayo mambo unayotaka waandamane...inaonekana either hutai kuelewa au una majibu yako mfukoni...(rudi nyuma kidogo tu)
Alichokifanya mtalii ni kukuweka wazi juu ya mambo yanayotokea huko US na EU ktk kila ujio wa Bush kutakuwa na maandamano. mtalii hii link baadhi sehemu/ISP ipo blocked watu wanaweza wasiione, mie ilibidi nitumie njia za ki-IT kuuona kuwa ulimwenguni bush hatakiw.
BBC usiku huu imemhoji Generali Ulimwengu..(sikiliza plz)..
Generally anasema Bush anakuja kwa ajenda 2. moja ugaidi na pili AFRICOM...Watetezi wa BUSH...huu ndio msaada kwenu? Salva kahojiwa nae anabwabwaja..eti..kawaulize watu wa hospitali ya Amana..lkn baadae akadai Bush anakuja kusaidia UKIMWI...?bushit...this is ur fighting for?
BBC wanasema waloandamana si tu waislam bali na UDASA...(tunashangaa kumuoga msomi kichuguu kubwabwaja hapa JF...wakati wanaume walikuwa barabarani leo)
Kichuguu na wenzako..HIVI kwanini mnachukia bendera ya US kuchomwa moto?
HAKUNA ANYEMTETEA BUSH HAPA!WATU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA!TUNATAKA MAMBO YANAYOTUUNGANISHA BEYOND OUR RELIGION..OUR TRIBES ETC!NDIO MOVEMENT HIYO!NI VITA DHIDI YA UFISADI!HIYO DHIDI YA UGAIDI NI JUU YENU MNAOSHUPALIA NA WADINI WENZENU!HAPA NI ISSUE YA UTAIFA..UTAIFA WA TAIFA LETU NA SIO WA WAARABU,WAZUNGU AMA WENGINE WENYE FIKRA ZA KITUMWA!
maneno yako ya kejeli hayafanyi hojayako iwe na nguvu.
a. Ulimwengu anaweza kusema lolote analotaka kusema lakini hoja hupimwa kwa nguvu zake. Yaani kweli wewe unaamini kuwa Bush anakuja kwa ajili ya "Ughaidi"? Kama unaamini hilo unaweza kujikuta bado unaamini kuwa kuna mama na mwanae mgongoni kwenye mwezi!.
b. Hivi nchi ambazo si za kighaidi kama Iran, Saudia na UAE wametusaidia kwa kiasi gani kupambana na Ukimwi, Malaria, ujenzi wa barabara n.k ? Jamani tujenge hoja, ni nchi gani inatoa misaada mingi kwa Tanzania? NIna uhakika Marekani haiko mbali.
Hivi kweli watu wanataka Marekani isaidie tu bila kupata chochote? MBona nchi nyingi hatutumii kipimo hicho hicho au kwa vile hatutaki wanachotaka kupata? Hivi Iran kwanini inajaribu sana kuwa karibu na Tanzania?
c. Tatizo siyo kuandamana wanaweza wakaandamana mchana kutwa na usiku kucha wakipenda! Hoja ni kuwa vile vitu vya kitaifa waviweke mbele; wasimame kuwatetea wananchi wenzao na kusimamia masuala ya Taifa. Siyo pale tu yanapogusa Waislamu ndio watu wanakimbilia kuandamana. Hivi mkataba wa Richmond ungeuza kiwanja kimoja cha Waislamu unafikiri kina Issa Ponda wangekaa kimya?
Acheni Bush aje kurudisha baadhi ya pesa za walalahoi ambazo JK na Salma walitumia walipokwenda USA.
Ukiona mtu mzima na akili zake anachoma bendera jua kwamba ameishiwa na hoja. Anatakiwa apelekwe Mirembe wakampime akili yake.