Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Nimeona kwa macho yangu wakichoma bendera ya marekani huku wakiongea maneno ya kiislam.

Hii tabia ya kuchoma bendera ya marekani (na kudai kuwa Death to America) ni tabia ya militants iliyoaniza mashariki ya kati na kusambaa. Inaelekea kuwa sasa hivi imeanza kuingia Tanzania; kwa hiyo Tanzania tujihadghali kwa vile hii ni dalili kuonyesha kuwa na sisi tumeanza kuwa na hao militants.
 
Mwanakijiji unasema hapendelewi mtu na anahojiwa yeyote lini ulihoji kauli ya papa Benedict dhidi ya waislam mwaka jana? kama ulivyotoa kauli juu ya makahama ya Kadhi?

once again, husomi nilichosema... ni wapi nimesema "anahojiwa yeyote"?.. duh!
 
Kwa hiyo tuseme unamuamlia njia anayotaka kuufikisha ujumbe? Pengine yeye ameona hiyo njia ndio iliyo bora zaidi!

Mimi sijawagawa waislam, bali wewe umeamua kuwasemea waislam wote inavyojionyesha katika bandiko lako hilo. Lisome tena kama unadhani ninakusingizia.

Hii isue ya Bush mie nafikiri viongozi wa dini ndio wanajaribu kuawaaminisha Bush anapinga uislamu.

kwa kifupi Bush ni mafia na Mafia hua haangalii athali kwa jamii isipokua maslahi kama vile tu walivyo mafia wa BOT.

Kwani Rusia kwa Putin anakotaka kuelekeza makobora nako anawasaka waislamu???
mbona zipo nchi nyingi tu za kiislamu zinazompa mafuta bila matatizo nawala hawagusi kwani wao sio waislamu???
 
of course hawana ugomvi na nchi yao isipokuwa pale watakapoona maslahi yao yanatishiwa. Wao tatizo la BoT haliwaumi, Richmond haiwahumi, IPTL haiwahumi, Rada haiwahumi, n.k It is Friday!!! Hivyo vyote haviwahumi na hawatavipigia kelele au kuandamana kwa sababu havitishii maslahi yao. Wenye ugomvi na nchi yao wanaonekana na hawachagui chanzo!!
Hapa namsapoti mkjj kwa nguvu zote!Waanze kuandamana na kupinga ufisadi ambao unawaletea umasikini..mambo ya kushupalia dini..nani kasema ziara ya Bush ni ya kidini?Hao masheick washughulikie maendeleo ya wananchi na sio kushupalia siasa kwa manufaa yao binanfsi huku waumini wakiteseka kwa umasikini!Wasiwe watumwa wa kifikra kwa kufuatiliza tu bila msingi..huko pakistani wakichoma bendera na wao wachome..serikali yetu haina dini!Ni sawa wakiandamana..lakini kwanza wafanye maadamano yenye kuwagusa wazalendo wote bila ya kujali dini!SISI TUNA VITA VYETU DHIDI YA UFISADI! KIPINDI HIKI TUTAIPA KIPAUMBELE KABLA HATA YA HIYO VITA DHIDI YA UGAIDI KATI YA WAARABU NA WAZUNGU!
 
Hii tabia ya kuchoma bendera ya marekani (na kudai kuwa Death to America) ni tabia ya militants iliyoaniza mashariki ya kati na kusambaa. Inaelekea kuwa sasa hivi imeanza kuingia Tanzania; kwa hiyo Tanzania tujihadghali kwa vile hii ni dalili kuonyesha kuwa na sisi tumeanza kuwa na hao militants.

Msomi mzima huna upeo kiasi hiki? ni nini udini? basi na mafuta tusinunue toka Middle East. kina Mtikila walikuwa wanaandamana jee wametoka mashariki?

kiongozi wa TLP leo rwekamwa alikanganya bendera ya Taifa letu hadharani ametoka middle East?

kumbe ndio maana umekuwa ukimtuhumu Professor Kighoma Malima humu bila ushahidi. yaani ndugu yetu hata maiti unamchukia?

kama wewe mkweli juu ya Marehemu malima na uadilifu wake kwa nchi tupatie ripoti ya M.V BUKOBA?

mbona Mkapa aliitia kapuni? Malima kwa uadilifu wake alipinga ununuzi wa ile meli kuwa ni bomu aliyeleta tenda ile ni sir Kahama suala lile kwenda kwa Mwalimu Nyerere akamuunga Mkono Kahama halafu Malima akaamua kujiuzulu, na kwenda zake kufundisha Marekani.

Matokeo ya Malima tumeyaona wote kifupi ni majuto mjukuu.

mzee acha roho mbaya ya udini sote ni binadamu na nchi ya wote.ni bora mtuambie kuwa mko kwenye CRUSADE inawezekana ni wewe uliyepinga OIC bila kuzingatia maslahi makubwa kwa nchi mwenzetu museveni kawakubali OIC anakula kwa mrija sie tufe na udini wetu.

kama nchi za middle East hazifai vipi chuo kikuu cha Dodoma wanakifadhili? tukatae pesa zao.mpelekeni Bush atumalizie chuo kama ni mkweli.
 
Hii isue ya Bush mie nafikiri viongozi wa dini ndio wanajaribu kuawaaminisha Bush anapinga uislamu.

kwa kifupi Bush ni mafia na Mafia hua haangalii athali kwa jamii isipokua maslahi kama vile tu walivyo mafia wa BOT.

Kwani Rusia kwa Putin anakotaka kuelekeza makobora nako anawasaka waislamu???
mbona zipo nchi nyingi tu za kiislamu zinazompa mafuta bila matatizo nawala hawagusi kwani wao sio waislamu???

Ninakubaliana na wewe kuhusu maslahi yanayomsukuma Bw. Kichaka. Hata huko Iraq watu wanataka tuamini kuwa alivamia kwa sababu za kidini. Ni maslahi mbele kila sehemu, dini pembeni.
 
Msomi mzima huna upeo kiasi hiki? ni nini udini? basi na mafuta tusinunue toka Middle East. kina Mtikila walikuwa wanaandamana jee wametoka mashariki?

kiongozi wa TLP leo rwekamwa alikanganya bendera ya Taifa letu hadharani ametoka middle East?

kumbe ndio maana umekuwa ukimtuhumu Professor Kighoma Malima humu bila ushahidi. yaani ndugu yetu hata maiti unamchukia?

kama wewe mkweli juu ya Marehemu malima na uadilifu wake kwa nchi tupatie ripoti ya M.V BUKOBA?

mbona Mkapa aliitia kapuni? Malima kwa uadilifu wake alipinga ununuzi wa ile meli kuwa ni bomu aliyeleta tenda ile ni sir Kahama suala lile kwenda kwa Mwalimu Nyerere akamuunga Mkono Kahama halafu Malima akaamua kujiuzulu, na kwenda zake kufundisha Marekani.

Matokeo ya Malima tumeyaona wote kifupi ni majuto mjukuu.

mzee acha roho mbaya ya udini sote ni binadamu na nchi ya wote.ni bora mtuambie kuwa mko kwenye CRUSADE inawezekana ni wewe uliyepinga OIC bila kuzingatia maslahi makubwa kwa nchi mwenzetu museveni kawakubali OIC anakula kwa mrija sie tufe na udini wetu.

kama nchi za middle East hazifai vipi chuo kikuu cha Dodoma wanakifadhili? tukatae pesa zao.mpelekeni Bush atumalizie chuo kama ni mkweli.
Naona unajaribu kujificha lakini haiwezekani...ni kweli una ujanja na umejitahidi sana!Naona unashindwa kuelewa kuwa tuna vita dhidi ya ufisadi nchini mwetu..unashupalia vita vya kidini..ofcourse kati ya mabwana zenu wazungu na waarabu!Mi naona uache huo utalii wako na uwe mzalendo!Uombe radhi na utangaze officially kwamba umeacha utalii na sasa wewe ni mzalendo!Bush ana matatizo makubwa..hio iko wazi!Na sisi watanzania tuna matatizo makubwa humu nchini kuliko hata waliyonayo hao wenzetu wazungu na waarabu!Huko wanakufa kwa kulipuana na sisi tunakufa kwa njaa,magonjwa na udini na ukabila!udini ambao una mpakazia mkjj na ukabila ambao unamrundikia Mbowe!Unataka tusahau ufisadi wa Kikwete na serikali yake!Mtalii naona uache hayo maramoja na kuwashurutisha masheick waungane na wananchi katika vita vyetu vya ufisadi na kujaribu kuwasaidia wananchi kwenye vita vya kujikwamua kiuchumi!
 
Ninakubaliana na wewe kuhusu maslahi yanayomsukuma Bw. Kichaka. Hata huko Iraq watu wanataka tuamini kuwa alivamia kwa sababu za kidini. Ni maslahi mbele kila sehemu, dini pembeni.
NI KWELI KABISA!WOTE WAZUNGU NA WAARABU WANATUMIA DINI KWA MASLAHI YAO BINAFSI!NA SISI WAAFRIKA TUNAFUATILIZA TU KAMA WATUMWA WA KIMAWAZO!BUSH MWENYEWE ALIUTUMIA UKRISTO KUINGIA MADARAKANI..LAKINI NI YEYE ALIYEILINDA FAMILIA YA BIN LADEN KUHAKIKISHA INATOKA MAREKANI SALAMA..NI YEYE ALIYEIVAMIA IRAQ LICHA YA KWAMBA MILITANTS WOTE WALITOKEA SAUDI!NA NI HIVI MAJUZI TU ALIKUWA AKINYWA NAO CHAI HUKO MECCA!SISI WAAFRIKA NI MUDA WETU WA KUSHUPALIA MAMBO YETU NA KUACHA KUWA NA FIKRA ZA KITUMWA..ZA KUNGOJEA BWANA WAKO ANASEMA NINI!WAPI VIONGOZI KAMA HAO?
 
Naona unajaribu kujificha lakini haiwezekani...ni kweli una ujanja na umejitahidi sana!Naona unashindwa kuelewa kuwa tuna vita dhidi ya ufisadi nchini mwetu..unashupalia vita vya kidini..ofcourse kati ya mabwana zenu wazungu na waarabu!Mi naona uache huo utalii wako na uwe mzalendo!Uombe radhi na utangaze officially kwamba umeacha utalii na sasa wewe ni mzalendo!Bush ana matatizo makubwa..hio iko wazi!Na sisi watanzania tuna matatizo makubwa humu nchini kuliko hata waliyonayo hao wenzetu wazungu na waarabu!Huko wanakufa kwa kulipuana na sisi tunakufa kwa njaa,magonjwa na udini na ukabila!udini ambao una mpakazia mkjj na ukabila ambao unamrundikia Mbowe!Unataka tusahau ufisadi wa Kikwete na serikali yake!Mtalii naona uache hayo maramoja na kuwashurutisha masheick waungane na wananchi katika vita vyetu vya ufisadi na kujaribu kuwasaidia wananchi kwenye vita vya kujikwamua kiuchumi!
Sawa mkuu Mushi,naomba tuanze na ripoti ya M.V BUKOBA ambayo Mkapa alikabidhiwa kimya hadi leo hii.

mwambie Mbowe au Slaa wafuatilie sisi tutawaunga mkono.au haumii na maisha ya watu waliopotea? kwa vile wenzetu mnatoka mkoa unaopenda pesa mnaumia kwa B.O.T tu? kuna maisha ya watu yalipotea na nyinyi mnalia na Kikwete hakuwepo.

lieni na Watu wawili waliopasuliwa MOI kimakosa au kwa vile hakuna maslahi ya pesa?
 
NAONA SASA UNALETA ZILE SIASA ZA SPINNING...SITAKI KUJIINGIZA KWENYE MTEGO WAKO KWA KUJARIBU KUSEMA KWAKUWA MIMI NI MCHAGGA BASI SIO MTANZANIA!KWA WEWE KUTOKUELEWA KWAMBA MREMA MWENYEWE ALIPIGA KELELE KUHUSU WATU WALIOFUKIWA UKO MGODINI BULYANHULU!KWAMBA NI MKOA WA KILIMANJARO ULIOKUWA NA VYAMA VYA WAZAWA VYENYE KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI KWA KUPAMBANA NA SERA MBOVU ZA WAKOLONI..UMESAHAU KNCU!UMESAHAU KWAMBA SIASA ZA UBAGUZI NDIZO ZILIZOTUMYIMA MAENDELEO KWA KUKUMBATIA WATU WASIO NA NIA NJEMA NA NCHI YETU!UKABILA UNAFANYA MAMBO YAKE KENYA!MIMI NAPINGA UKABILA KWA NGUVU ZANGU ZOTE KWASABABU NIMESHAWAHI KULETEWA CHUKI KWASABABU YA KABILA LANGU..HIYO HAINA NAFASI KWANGU!
Turudi kwenye point..nakushangaa unasisitizia mv bukoba peke yake..nini hasa mamslahi yako?Vita ya ufisadi siyo mv bk peke yake..ni RICHMOND..NI BUZWAGI,NI AKAUNTI YA EPA..NI MIKATABA YOTE YA KIFISADI!BILA KUJALI KAMA UMETOKEA BUKOBA AMA KILIMANJARO!
Hivi unajua bilioni 133..na hizi ni za EPA peke yake..unajua zingeweza kununua better zaidi ya mv bukoba mara mia!Zingeweza kutoa kipaumbele kwa kuwalipa madaktari na wasaidizi wao vizuri huku ikiwapatia watumishi wake mafunzo na kozi za kisasa?WE HUJUI KUWA MGONJWA ALIYETAKIWA KUPASULIWA KICHWA ALIPASULIWA GOTI AND VICE VERSA..HUWEZI KUONA KUNA MISCOMMUNICATION HAPO?lMaybe mafile yali switchiwa na madaktari kutoka kuwa intouch na wasaidizi ama ukosefu wa utunzaji wa mzuri na wakisasa wa kumbukumbu?
 
Sawa mkuu Mushi,naomba tuanze na ripoti ya M.V BUKOBA ambayo Mkapa alikabidhiwa kimya hadi leo hii.

mwambie Mbowe au Slaa wafuatilie sisi tutawaunga mkono.au haumii na maisha ya watu waliopotea? kwa vile wenzetu mnatoka mkoa unaopenda pesa mnaumia kwa B.O.T tu? kuna maisha ya watu yalipotea na nyinyi mnalia na Kikwete hakuwepo.

lieni na Watu wawili waliopasuliwa MOI kimakosa au kwa vile hakuna maslahi ya pesa?

Mtalii kwanini usiwashauri kina njozi wapigie kelele ripoti ya MV Bukoba? au hawa jamaa walioandamana kwanini wasiandamane ili ile ripoti iwekwe wazi... Ndio maana tunasema vipo vingi vya kuandamania.. tatizo ni kuwa kama havigusi maslahi yao hawanyoshi vidole, ila kama MV Bukoba ingekuwa imebeba Waislamu watu wanaotoka kwenye Maulidi mbona tungekiona!!
 
NI KWELI KABISA!WOTE WAZUNGU NA WAARABU WANATUMIA DINI KWA MASLAHI YAO BINAFSI!NA SISI WAAFRIKA TUNAFUATILIZA TU KAMA WATUMWA WA KIMAWAZO!BUSH MWENYEWE ALIUTUMIA UKRISTO KUINGIA MADARAKANI..LAKINI NI YEYE ALIYEILINDA FAMILIA YA BIN LADEN KUHAKIKISHA INATOKA MAREKANI SALAMA..NI YEYE ALIYEIVAMIA IRAQ LICHA YA KWAMBA MILITANTS WOTE WALITOKEA SAUDI!NA NI HIVI MAJUZI TU ALIKUWA AKINYWA NAO CHAI HUKO MECCA!SISI WAAFRIKA NI MUDA WETU WA KUSHUPALIA MAMBO YETU NA KUACHA KUWA NA FIKRA ZA KITUMWA..ZA KUNGOJEA BWANA WAKO ANASEMA NINI!WAPI VIONGOZI KAMA HAO?

yani sisi hata historia hatuilewi
Badala ya kukomaa na mambo yetu sisi tupate kujikomboa sisi na stori tu za waarabu na wazungu hayo ni yao waacheni nayo ,sisi tufanye mambo yetu ya kujiinua.

Hawa wazungu wametuletea Dini harafu baadae wakatutawala ,tukawatumikia wakaiba mali zetu wakaondoka HAPA BADO HUTUKUJIFUNZA KITU.

Waarabu nao wakaja na DINI yao wakatuibia mali zetu,wakaua babu zetu,wakatuchapa viboko wakatuzalilisha ,wakatuuza sokoni kama bidhaa ktk tako tukapigwa chapa kwa moto ,tukaunganishwa na minyororo HAPA NAPO BADO HATUKUJIFUNZA KITU.

Hawa jamaa wanapigania maslahi na si DINI hata historia inaonyesha.

kwanza inabidi hata hiyo vita iongezeke waune zaidi maana Babu yangu kunyang'anywa mke wake na familia yake harafu yeye akauzwa sijui wapi hadi leo sijui alifia wapi unadhani ni mchezoo hiyo NI LAANA WALIYOTUDEA SISI WAAFRIKA waacheni wajiripue si jino kwa jino 🙂
mbona wakati wanatuuza hawakusema DINI leo mambo yamewageukia wanasema DINI waacheni nao waonje joto ya jiwe
 
Mwanakjj,Jmushi1... nilimjibu mwezio huko ktk post za nyuma kwanini waislam hawaandamani kwa ajili ya Hayo mambo unayotaka waandamane...inaonekana either hutai kuelewa au una majibu yako mfukoni...(rudi nyuma kidogo tu)

Alichokifanya mtalii ni kukuweka wazi juu ya mambo yanayotokea huko US na EU ktk kila ujio wa Bush kutakuwa na maandamano. mtalii hii link baadhi sehemu/ISP ipo blocked watu wanaweza wasiione, mie ilibidi nitumie njia za ki-IT kuuona kuwa ulimwenguni bush hatakiw.

BBC usiku huu imemhoji Generali Ulimwengu..(sikiliza plz)..

Generally anasema Bush anakuja kwa ajenda 2. moja ugaidi na pili AFRICOM...Watetezi wa BUSH...huu ndio msaada kwenu? Salva kahojiwa nae anabwabwaja..eti..kawaulize watu wa hospitali ya Amana..lkn baadae akadai Bush anakuja kusaidia UKIMWI...?bushit...this is ur fighting for?

BBC wanasema waloandamana si tu waislam bali na UDASA...(tunashangaa kumuoga msomi kichuguu kubwabwaja hapa JF...wakati wanaume walikuwa barabarani leo)

Kichuguu na wenzako..HIVI kwanini mnachukia bendera ya US kuchomwa moto?
 
HAKUNA ANYEMTETEA BUSH HAPA!WATU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA!TUNATAKA MAMBO YANAYOTUUNGANISHA BEYOND OUR RELIGION..OUR TRIBES ETC!NDIO MOVEMENT HIYO!NI VITA DHIDI YA UFISADI!HIYO DHIDI YA UGAIDI NI JUU YENU MNAOSHUPALIA NA WADINI WENZENU!HAPA NI ISSUE YA UTAIFA..UTAIFA WA TAIFA LETU NA SIO WA WAARABU,WAZUNGU AMA WENGINE WENYE FIKRA ZA KITUMWA!
 
maneno yako ya kejeli hayafanyi hojayako iwe na nguvu.

a. Ulimwengu anaweza kusema lolote analotaka kusema lakini hoja hupimwa kwa nguvu zake. Yaani kweli wewe unaamini kuwa Bush anakuja kwa ajili ya "Ughaidi"? Kama unaamini hilo unaweza kujikuta bado unaamini kuwa kuna mama na mwanae mgongoni kwenye mwezi!

b. Hivi nchi ambazo si za kighaidi kama Iran, Saudia na UAE wametusaidia kwa kiasi gani kupambana na Ukimwi, Malaria, ujenzi wa barabara n.k ? Jamani tujenge hoja, ni nchi gani inatoa misaada mingi kwa Tanzania? NIna uhakika Marekani haiko mbali.

Hivi kweli watu wanataka Marekani isaidie tu bila kupata chochote? MBona nchi nyingi hatutumii kipimo hicho hicho au kwa vile hatutaki wanachotaka kupata? Hivi Iran kwanini inajaribu sana kuwa karibu na Tanzania?

c. Tatizo siyo kuandamana wanaweza wakaandamana mchana kutwa na usiku kucha wakipenda! Hoja ni kuwa vile vitu vya kitaifa waviweke mbele; wasimame kuwatetea wananchi wenzao na kusimamia masuala ya Taifa. Siyo pale tu yanapogusa Waislamu ndio watu wanakimbilia kuandamana. Hivi mkataba wa Richmond ungeuza kiwanja kimoja cha Waislamu unafikiri kina Issa Ponda wangekaa kimya?
 
HAKUNA ANYEMTETEA BUSH HAPA!WATU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA!TUNATAKA MAMBO YANAYOTUUNGANISHA BEYOND OUR RELIGION..OUR TRIBES ETC!NDIO MOVEMENT HIYO!NI VITA DHIDI YA UFISADI!HIYO DHIDI YA UGAIDI NI JUU YENU MNAOSHUPALIA NA WADINI WENZENU!HAPA NI ISSUE YA UTAIFA..UTAIFA WA TAIFA LETU NA SIO WA WAARABU,WAZUNGU AMA WENGINE WENYE FIKRA ZA KITUMWA!

Mushi Jambo gani la kitaifa linalomfanya Bush atembelee TZ?...
 
Acheni Bush aje kurudisha baadhi ya pesa za walalahoi ambazo JK na Salma walitumia walipokwenda USA.

Ukiona mtu mzima na akili zake anachoma bendera jua kwamba ameishiwa na hoja. Anatakiwa apelekwe Mirembe wakampime akili yake.
 
maneno yako ya kejeli hayafanyi hojayako iwe na nguvu.

a. Ulimwengu anaweza kusema lolote analotaka kusema lakini hoja hupimwa kwa nguvu zake. Yaani kweli wewe unaamini kuwa Bush anakuja kwa ajili ya "Ughaidi"? Kama unaamini hilo unaweza kujikuta bado unaamini kuwa kuna mama na mwanae mgongoni kwenye mwezi!.

b. Hivi nchi ambazo si za kighaidi kama Iran, Saudia na UAE wametusaidia kwa kiasi gani kupambana na Ukimwi, Malaria, ujenzi wa barabara n.k ? Jamani tujenge hoja, ni nchi gani inatoa misaada mingi kwa Tanzania? NIna uhakika Marekani haiko mbali.

Hivi kweli watu wanataka Marekani isaidie tu bila kupata chochote? MBona nchi nyingi hatutumii kipimo hicho hicho au kwa vile hatutaki wanachotaka kupata? Hivi Iran kwanini inajaribu sana kuwa karibu na Tanzania?

c. Tatizo siyo kuandamana wanaweza wakaandamana mchana kutwa na usiku kucha wakipenda! Hoja ni kuwa vile vitu vya kitaifa waviweke mbele; wasimame kuwatetea wananchi wenzao na kusimamia masuala ya Taifa. Siyo pale tu yanapogusa Waislamu ndio watu wanakimbilia kuandamana. Hivi mkataba wa Richmond ungeuza kiwanja kimoja cha Waislamu unafikiri kina Issa Ponda wangekaa kimya?

a. Hujui Bush aja kwa vitu gani? ....

b. So unatetea UFISADI...eti kila anae saidia lazima apate chochote sio? OHH...LEO NASEMA MWANAKJJ ni mtetezi wa UFISADI...Kama unakubali kila anaesaidia lazima apate chochote...Duh basi kaa kimya tu kaka usimlaumu Muungwana na FISADI sports club....maana nawe miongoni mwao..

c. Unauliza eti nchi za waarabu wanasaidia nini? Ofcourse waarabu tofauti na Hao unaona wanasaidia kazi kutupa mizigo ya madeni..nchi za waarabu kwanza wanasaidia MNO...pia wakitoa MKOPO ni MKOPO hakuna RIBA(at last mkopo utasamehewa...huna haja ya kusafiri kwenda US kuwatafuta malobbyst wa IMF,WB wakakupigie debe usamehewe deni uwape 10% zao....AMKA toka usingizini kaka)... Barabara ya Mtwara+Daraja pesa zimetoka wapi? Mpigie Mkapa au Mzee Mwinyi waulize pesa walipata wapi? au waulize Wizara ya Fedha waweke list ya wafadhili wote na kila nchi uone...

d. Mwanakjj Muulize Chavez kwanini yupo karibu na IRAN...
 
Acheni Bush aje kurudisha baadhi ya pesa za walalahoi ambazo JK na Salma walitumia walipokwenda USA.

Ukiona mtu mzima na akili zake anachoma bendera jua kwamba ameishiwa na hoja. Anatakiwa apelekwe Mirembe wakampime akili yake.

DUA ukichoma nguo yako iliyokwisha au kitambaa unakuwa chizi?mafundi nguo wetu basi wote machizi..... au umeishiwa pumzi? Toa hoja makini..sio Hoja MFU..

Nimewauliza wengi lkn hadi page 11 hakuna aliejibu...labda DUA utusaidie..kwanini unachukia bendera(kitambaa) ya US kuchomwa moto?
 
Kama kawaida ya Wadanganyika siku zote huongea hoja kwa rangi zao....na ajabu ni pale watu wengine wanajaribu kutunga sababu na uzito wa maandamano kutokana na imani zao..

Kwanza wananbodi wote inabidi tujirudi na kumkufuru shetani kwani Tanzania ni nchi yenye uhuru mkubwa wa dini.. na tofauti kati yetu kidini haina maana wale wengine hawana sheria kwa sababu tu haikuhusu wewe.

Navyofahamu mimi Waislaam siku zote wamekuwa wakidai kutokana na kauli yake mwenyewe Bush kuwa yupo ktk crusade kuuondoa Uislaam na imani zao za kishetani. Hii statement ni nzito sana kwa kiongozi kama yeye kuweza kuitoa mbele ya hadhara ktk mkutano.
Kama kiongozi na rais mwenye nguvu kubwa duniani alifikia hata kuwaita majina mazito yenye kuutukana Uislaam. Na kwa matusi yake (kama Kiongozi wa Taifa kubwa) aliwavuta baadhi ya wakristu na kibao wanaendeleza kutumia matusi kama yale wakidai ni uhuru wao wa kusema chochote wanachotaka hata kama wamedai kuuondoa Uislaam na sheria zake ambazo hazikubaliki ktk dunia ya Kikristu. Hapo hapo wanasema wanaamini haki ya mtu kuabudu kile anachokitaka....
Lakini ajabu ni kwamba kila mhusika toka upande wa pili ambao ni waislaam akitumia matusi hayo hayo na ahadi hizo hizo huonekana kuwa ni gaidi (Terrorist). Tena basi wapo radhi kusema kuwa ahadi za Bush na mauaji anayoyafanya huko Iraq yana tofauti kubwa na mauaji yanayofanywa na Waislaam hata kama majeshi ya Marekani yameua watu wengi zaidi ya hesabu ya Saadam Hussein.
Na kinachozidi kushangaza ni kwamba wapo watu pamoja na hao wanasiasa wa Marekani wanaopinga vita hii kwa sababu:- Marekani inapoteza baadhi ya vijana wake vitani lakini hawatazami hesabu ya Wa Iraq wanaokufa kuwa iwe sababu ya kusimamisha vita hivi.

Sasa mnapodai kuwa kwa nini waislaam wasiandamane kwa sababu ya MV Bukoba, BoT na sijui Richmond Je wewe umesha andamana?... Inakuwaje swala la kuandamana ambalo ni haki ya kila Mtazania pale anapoona hakuna haki iwe ni jukumu la Muislaam ati kwa sababu tu kaandamana kupinga ujio wa Bush ambaye dunia nzima watu huandamana kila anapokwenda bila kujali dini zao, iweje Tanzania iwe ni issue ya Waislaam na kuwaona wao wajinga.. Hivi kweli nyie wakristu wa Tanzania mna akili kuliko wakristu wengine wote waliowahi kuandamana nchi tofauti na sidhani kama kuna nchi hata moja ambayo Bush amewahi kuweka mguu na ikawa hakuna maandamano..

Duh, ama kweli Tanzania ni nchi ya AMANI na UTULIVU = UJINGA!
 
Back
Top Bottom