Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Mitomingi,

Mkuu wangu unajua sisi waswahili hupenda sana kusukuma majukumu kwa mtu mwingine hali yanatuhusu sote na mara nyingi kukosoa watu hali tumekaa janvini.. Utamsikia mtu aisyekuwa na mke ndio mshauri mkubwa wa ndoa.
Nikiongoa na mzee mmoja alinambia kuwa hata harakati za Uhuru zilikuwa na watu kama hawa na wachache sana kina Nyerere waliweza ona nje ya kabati na hawa walipoingia, ndipo wajinga wengibe wengi wakajiunga.
Haya, hata Uhuru wetu ulikuwa ni swala la dini na maswali ya why hali waathirika ni sisi sote...
 
Bob heshima mbele ndugu yangu,

Hujanisaidia kabisa wangu. Mkuu hili swala I wish ungeiona nafsi yangu, nimeuliza nikiwa na moyo mweupeeee kabisa, nikitaka kujifunza. As my friend said, kwanini watu wasitumie huo uarabu basi? why dini mkuu wangu? Do you want to tell me Islam is Arab and Arab is Islam? JF tunaeleweshana na kweli nina nia ya kujifunza kabisa katika hili!

Yes, nimecite hizo nchi kwa sababu ndo matatizo makubwa yaliko. Haina maana kwamba Sudan is doing any better. Utawala na sheria za Khartoum zimenyanyasa watu kwa minajili ya dini, Darfur ilifika point kwamba watoto wakienda shule wanafundishwa Quran tuu...shule nyingine hawasomeshwi...na sasa ndo hizo marginalization wanalia nazo among other things, Kwa sababu watoto kwa watu wazima zaidi ya kuongea kiarabu na ku-cite Quran......hakuna cha zaidi...you see my point? ukienda Mauritania et al tatizo ni hilo hilo...why dini?????? Thats my questions.

Kuhusu Uhuru wetu waafrika tulilia na rangi..indeed mpaka leo (hata huko US) waafrica wanalia na race siyo dini).....Hata leo ukiniuliza mimi...I will tell you I have no problem with religion whatsoever! my relationship with GOD is my personal business! Kwa nini watu wasitoe hoja zilizojisimamia? Mfano kwa nini Osama asi-wage vita dhidi ya Bush kwa kutumia kigezo kingine..why should he invoke religion? tena yenye followers millions of millions..do you mean is representing the views of the rest? I dont want to believe that! thats my dilemma!
 
TWO QSNS:

Can some body give me plausible reasons kwa nini Tanzania hatutaki kuruhusu majeshi ya USA (AFRICOM) kuweka base Tanzania? Apart from these normal songs of militarization of Africa continent ambazo tunazisikia kila siku. Mfano tukiyaruhusu, tutaathirika kivipi? na vice versa....

Swali lingine, hivi ugaidi tunaoushuhudia leo sehemu mbali mbali duniani eg Pakistan, Afghanistan, Iran etc, kama usingekuwa unatumia mwavuli wa dini ya kiislamu, ungefanikiwa?, I mean could they convince people like militants and fanatics to do what they do like blowing up buildings, themselves? Could they? WITHOUT USING THE NAME OF ISLAM? In otherwords kwa nini in most Islamic countries when people want to achieve their agendas, they tend to use the religion mask? Like when you kill infidels..you will be rewarded in heaven..? Kifupi hawa the so called maghaidi wanaweza kufanikisha agenda zao bila kutumia platform ya UISLAM?

Waungwana mi napenda kuuliza hivi na naomba Muislamu/Mkristu/Mpagani yeyote aliyemo humu jamvini anieleweshe. Kwa sababu nashindwa kuelewa kwa nini dini ya waumini millions and millions iwe LINKED na mambo mabaya? AS WE SEE EVERYDAY... na bado tunaambiwa ISLAM is the religion of Peace. I honestly find it puzzling for someone to kill another and justify his/her actions through the holy books. Perhaps we could get the answer kwa nini watu wanaandamana dhidi ya Bush kama adui wa Uislamu na Bush anatembeza bakora dhidi ya maghaidi... (ambao most of them they happen to be Islamist...)

What am I missing in this whole issue?

I will appreciate anybody`s response!

1. Kwanini Tunataka AFRICOM? kwa manufaa ya Nani? AFRICOM itakuja kutuchonganisha, na kama huamini subiri...before na after uhuru Tanganyika yetu hapakuwa na magomvi baina yetu...Sasa hivi Hatuna AFRICOM tuna loose nini? Tunaigopa Burundi? au Rwanda? Jesh letu limeshindwa?...AFRICOM inakuja kupambana na Majambazi?....

2. Kama mnajua kuwa Amerika kajitengenezea Maadui, unataka Maadui hao waje kupambana ktk ARDHI TUKUFU ya Tanzania? Amerika kwa muda wote wa historia amekuwa akitumia viwanja au Ardhi za Nchi nyingine kufanya vita...we dont like this to happen in our poor land.

3. Ndugu yangu Iran kuna ugaidi gani? au ndio nyimbo za Amerika?

4. Huko unaposema Iraq. Afghanstan, US kafuata nini huko? watu ndugu zao washauwawa na hawana Njia ya kujikomboa..njia nyepesi ni hio ya kujilipua...im not supporting kujilipua, kwa wenzetu hawana namna ya kupambana na ADUI yao. Hivi asiependa kuishi vizuri, ktk nyumba nzuri? Kila mtu anapenda kuishi hivyo, level ya dhulma ikifikia ktk peak, basi aliedhulumiwa anakuwa hana namna.

5. Masanja...Hivi wale wale wanawaua bibi wazee kule Shinyanga nao waislam? Burundi, Rwanda,Kongo, Kenya,waislam? mifano mingi.hoja zako hapo ni MFU..
inshort.
Afghanstna-Waislam wanapambana na Amerika na Makuadi wake wa EU
Iraq-------Waislam wanapamba na kuvamiwa nchi yao na majeshi ya wavamizi.
Pakistan-hakuna Vita, ila wananchi wamechoka na UFISADI na Undumila kuwili wa Viongozi. Kumbuka Pakistan ni wataalam wa Nyuklia na US na Makuadi wake EU wanafanya kila linawezekana kumuweka mtu atakaesaidia vita yao dhidi ya Ugaidi...Kule Pakisan hawaweki AFRICOM wanatumia njia ya divide na rule.

mifano tele..ukitaka specific uliza...
 
Masanja,
Kwanza Pakistan, Iraq na Afghanstan sio waarabu na pili Bush kwa mdomo wake alisema yupo ktk crusade akitumia dini yake kueneza message ya kile alichokusudia kukifanya..
Huo ndio mwanzo wa big picture mbona wakati wa Clinton alipokewa kwa heshima nchi hizo hizo kama tulivyowapokea wazungu wengine nchini!..
Swala la Sudan wanaoathirika pia ni waislaam kwa hiyo usichanganye Utawala mbaya na tunapolilia haki. Hata JK ni Mtanzania na as a fact Afrika nzima baada ya Uhuru we are not doing any better as well. Hiyo isiwe sababu ya kusema hatukustahili Uhuru wetu.
 
Nafikiri kufanya mambo ukiwa na positve thinking ni vizuri zaidi kuliko kuiga tu simply kwa sababu wengine hufanya hivyo. Mimi sioni kama ni sahihi waislam wa Tz kumchukia Bush. Ieleweke kuwa kama sera zake ni mbaya effect yake ina cut across us. Dini zote na pagans pia. Ukiniambia nitoe sababu moja tu kwa nini kikundi cha wislam kiandame kupinga ziara ya Bush kweli nitashindwa au niseme ni kwa sababu imekuwa ni fashion kila aendako vikundi huandamana? Siko Dar lakini najua saa hizi kuko tight .Sijui wamefunga barabara zipi au je mtandao wa simu upo jamani ?
 
Mfamaji,
Unaposema kuiga una maana gani?....
Una maana waislaam wanaandamana kwa sababu watu wengine huandamana!.... What a joke..
Je wewe unapoandika haya maneno umeiga maanake sii wewe ukliyetunga kuandika?...
Haki ni haki haina kuiga na imeliliwa toka enzi za Mitume, haikuanza jana kwa Bush.
 
Mkandara, I didnt expect such answers from you they are too simplistic and full of blame game. Otherwise, umejitahidi kuliangalia hili swala katika prism unayotaka wewe. Which is your right! But was not my aim na wala sitaki kuingia huko..on who is a proper Arab/Farsi, Urdu...et al....No...

Chuma, You didnt answer my core QN!

its unfortunate that sweeping statements hardly bring positive changes. Assume, Waislamu wanaonewa..so what???? Kwa kifupi majibu yako na wale wanaopenda kujibu kama wewe kwa sweeping statements ndo wanatufikisha hapa. hawatumii/hawajengi hoja zaidi ya hysteria na chuki za kuona kwamba kila siku wanaonewa. Na as a result the best watu wanachokifanya ni kuwa-ignore na kusema kwamba-tumeshawazoea ni kelele zao. Its so unfortunate. But as I say wisdom is sometimes to know what to ignore and overlook!
 
Mzee point. mi nashangaa wabongo njaa kibao, ufisadi kila kona , then mnapoteza muda kuandamana kumpinga Bush asije Bongo. Andamaneni kuhusu BoT , IPTL huduma duni za afya , shule nk. Jiangalieni kwanza umasikini wenu kabla ya kupambana na US President.Mkitaka kuona alivyo powerful angalieni maisha ya Dar kuanzia kesho hadi aondoke. Mimi nasema aje akipenda akae hata mwezi kama Jk alivyokaa kwake .Ebo

Jamani si kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake? huwezi kulazimisha mtu afanye au afikiri utakavyo. Hata wewe kama una uchungu na nchi hii unaweza kuandamana kuhusu Buzwagi, Richmond, PCCB, Polisi, etc.

Kwa kweli kinachoendelea Dar leo si rahisi kuamini kuwa hii ni nchi huru.

Si ajabu kwa Bush kupokelewa na maandamano ya kupinga ujio wake. Nchi kadhaa zimeshawahi kufanya hivyo.
 
Masanja,
Mkuu nimekufahamisha Ukweli kuwa hawa sio waarabu na ndio.. kwa lugha ama kabila, sasa unafikiri ni kitu gani kinachowaunganisha?... Ni point safi kabisa haina kiungo zaidi kama tulivyoutumia weusi wetu ktk swala la Africa..Kiungo kilikuwa rangi yetu.

Sasa nikuulize wewe why only baadhi Wakristu wa Tanzania ndio wanaopinga?... Je, haihusiani na Udini wao. Yote haya unaweza sema ni full of blame game lakini sidhani kama unaweza kunipa jibu....
 
Nafikiri kufanya mambo ukiwa na positve thinking ni vizuri zaidi kuliko kuiga tu simply kwa sababu wengine hufanya hivyo. Mimi sioni kama ni sahihi waislam wa Tz kumchukia Bush. Ieleweke kuwa kama sera zake ni mbaya effect yake ina cut across us. Dini zote na pagans pia. Ukiniambia nitoe sababu moja tu kwa nini kikundi cha wislam kiandame kupinga ziara ya Bush kweli nitashindwa au niseme ni kwa sababu imekuwa ni fashion kila aendako vikundi huandamana? Siko Dar lakini najua saa hizi kuko tight .Sijui wamefunga barabara zipi au je mtandao wa simu upo jamani ?

Ndugu yangu acha matusi ya rejareja, walioandamana ni wengi na kila mmoja ana sababu yake. Sifikirii kuwa walioandamana wote ni wapuuzi, hawana uwezo wa kufikiri au kuchanganua mambo. Kwa taarifa yako tu walioandaa maandamano ni viongozi wa misikiti lakini walioandamana ni pamoja na watu wa imani mbalimbali ambao wanapinga sera za Marekani na hasa Rais Bush.
 
aaaa12rj4.jpg

Wachoma Bendera.

usain9.jpg

Waandamanaji

Naomba niwashauri Waislamu, ukweli ni kuwa, hayo maandamano yanafanyika kwa sababu za kidini na sio za kiuchumi kama ambavyo wamekuwa wakiongea na vyombo vya habari kama vile BBC.

Ufisadi hauanzii nje ya nchi, huwa unaanzia ndani ya nchi siku zote. Swala la Bush kuweka au kuiba dhahabu na rasilimali sio la lazima kama viongozi watakuwa makini. Tumeona kesi za Buzwagi na other mining sections ambapo uozo umefanywa na watanzania wenzetu. Ningewaona kuwa wa maana kama wangeanza kuandamana pale kina Lowassa na Karamagi walivyouza nchi katika mambo mbali mbali. Ningewaona wenye akili na watu wasioendekeza udini kama wangeandamana kwa sababu ya kina Rostam Aziz, unless waseme hawakuandamana kwa sababu ni muislamu mwenzao.

Muwe mnajipanga vizuri ili mambo yenu yasichukuliwe kidini sana.

Point kuwa Bush anaharibu uchumi wa nchi changa, ni critical, na ni muhimu kuliongelea. But, mbona huu uozo wa ndani hatujaukemea. Sijawahi kusikia maandamano ya kiislamu kuponda issue kama BOT, Richmond, Buzwagi, Bulyamhulu, Mererani, Kahama n.k. Zote hizi ni nyeti kwa Tanzania na tena huu ni mkubwa kuliko hata unavyoweza mtu kufikiria. Kuna msemo usemao kuhusu kutokomalia kibanzi katika jicho la nduguyo hali kuna boriti jichoni mwako. Boriti letu ndio huoo ufisadi, sasa tunaanza kumkomalia Bush, wakati mafisadi and vibaraka wa Bush wamekaa humu humu ndani, tena bungeni. Yeye hana shida, ni opportunist kama mfanyabiashara au mwekezaji yeyote, kwa hiyo mawaziri wetu wakiwa vilaza wakakubali, hao ndio mafisadi wa kwanza. Unajua, tusifananishe maswala ya kichumi na issue za mtoto wa kike na kiume, ambapo, mzazi au mlezi unamkemea mtoto wa kiume asimsogelee binti yako ukihofia kuwa ataingia mtegoni. Hapa maswala ya kiuchumi hayaangalii mtu mmoja ni wataalamu wengi. Sema hawa wazee wetu wamekuwa wakiamua wenyenwe bila kuhusisha wataalamu.

Kwa hiyo, mimi sijawaponda sana kuandamana, but waonyeshe pia maandamano katika mambo ya msingi kama ya Richmond n.k, ili watu wasianze ku-judge kuwa complaints zao ni chuki za kidini chini ya mwavuli wa sababu za kichumi.
 
1. Kwanini Tunataka AFRICOM? kwa manufaa ya Nani? AFRICOM itakuja kutuchonganisha, na kama huamini subiri...before na after uhuru Tanganyika yetu hapakuwa na magomvi baina yetu...Sasa hivi Hatuna AFRICOM tuna loose nini? Tunaigopa Burundi? au Rwanda? Jesh letu limeshindwa?...AFRICOM inakuja kupambana na Majambazi?....

2. Kama mnajua kuwa Amerika kajitengenezea Maadui, unataka Maadui hao waje kupambana ktk ARDHI TUKUFU ya Tanzania? Amerika kwa muda wote wa historia amekuwa akitumia viwanja au Ardhi za Nchi nyingine kufanya vita...we dont like this to happen in our poor land.

3. Ndugu yangu Iran kuna ugaidi gani? au ndio nyimbo za Amerika?

4. Huko unaposema Iraq. Afghanstan, US kafuata nini huko? watu ndugu zao washauwawa na hawana Njia ya kujikomboa..njia nyepesi ni hio ya kujilipua...im not supporting kujilipua, kwa wenzetu hawana namna ya kupambana na ADUI yao. Hivi asiependa kuishi vizuri, ktk nyumba nzuri? Kila mtu anapenda kuishi hivyo, level ya dhulma ikifikia ktk peak, basi aliedhulumiwa anakuwa hana namna.

5. Masanja...Hivi wale wale wanawaua bibi wazee kule Shinyanga nao waislam? Burundi, Rwanda,Kongo, Kenya,waislam? mifano mingi.hoja zako hapo ni MFU..
inshort.
Afghanstna-Waislam wanapambana na Amerika na Makuadi wake wa EU
Iraq-------Waislam wanapamba na kuvamiwa nchi yao na majeshi ya wavamizi.
Pakistan-hakuna Vita, ila wananchi wamechoka na UFISADI na Undumila kuwili wa Viongozi. Kumbuka Pakistan ni wataalam wa Nyuklia na US na Makuadi wake EU wanafanya kila linawezekana kumuweka mtu atakaesaidia vita yao dhidi ya Ugaidi...Kule Pakisan hawaweki AFRICOM wanatumia njia ya divide na rule.

mifano tele..ukitaka specific uliza...

Chuma una madai mazito sana.Lakini sasa hawa watu wameandamana jana na leo Bush anaingia ujumbe umefika kwake ? Hivi hii mada sasa inachukua sura ya udini ?
 
Masanja,
Mkuu nimekufahamisha Ukweli kuwa hawa sio waarabu na ndio.. kwa lugha ama kabila, sasa unafikiri ni kitu gani kinachowaunganisha?... Ni point safi kabisa haina kiungo zaidi kama tulivyoutumia weusi wetu ktk swala la Africa..Kiungo kilikuwa rangi yetu.

Sasa nikuulize wewe why only baadhi Wakristu wa Tanzania ndio wanaopinga?... Je, haihusiani na Udini wao. Yote haya unaweza sema ni full of blame game lakini sidhani kama unaweza kunipa jibu....

Sasa mkuu Mkandara tatizo ni wapi!!Wao wameamua kujitambulisha kama Waislamu katika vita hii baada ya kuona ndo njia pekee ya kuwaunganisha, na si Waarabu au wahindi nk.Upande wa pili nao utatambua kuwa Adui yaku ni Mwislam.
Kwanini wasiungane na kupigana kama ilivyokuwa katika vita vya pili vya Dunia nchi zilipoungana kumwondoa Hitler?
 
Kishazi,
Haya maswala ya Mbona mbona, wewe mwenye akili umefanya nini? Umejipanga vipi kutetea maslahi ya Taifa acha mbali dini yako. Siku zote laumu kitu kama wewe unachokifanya kina manufaa zaidi..otherwise mwenye ku raise hii issue ni wewe mkristu na sababu zilizokufanya ni za kidini, Kinachokuumeni nini hasa?

Kwani ungekaa kimya ukayatazama maandamano haya kama yalivyo ungepungukiwa kitu gani haswa?... na jiulize ni kitu gani hasa kilichokukera kama sio dini na neno Waislaam ambao pengine akili yako haitaki kuwakubali kama ni watu wenye uhuru sawa na wako...
 
Back
Top Bottom