Masanja,
Nadhani unaelewa fika kwamba hata siku moja sikimbii swali, hujibu navyoelewa mimi na kama maji mazito nakunja msuli wangu naondoka taratibu...Sintarudia swali lako ila nadhani hapo mwanzo nilikwambia nitakujibu swali la pili tu., na ndilo nililokujibu.
Sawa kama unataka mtazamo wangu ktk swali lako nadhani tutarejea tena katika mjadala kama huu uliofanyika mwaka 2006..Niliwahi toa mfano wa karibu vile vile na kuuliza watu kama sisi weusi tungeshindwa kuondoa Ukoloni Africa kama tusingetumia jina la rangi yetu..weusi!..
Kumbuka ni wakati huo huo kina Steve Biko, Oliver Tambo, Mandela, Nyerere, Nkurumah, Samora wote hawa walionekana sawa na Ossama machoni pa mazungu wenye siasa kali, maanake hata wao hawakujiona makalio yao kuwa walikuwa na siasa kali isipokuwa mweusi aliyetaka kujikomboa.
Now, turudi kwenye main question..hawa wote walikuwa na kitu gani in common?... walipinga kutawaliwa sasa either washinde ama washindwe hiyo sii kazi yetu kutoa hukumu kwani Steve Biko alikufa nchi hiyo haikupata Uhuru. Kina Martin Luther King walipinga yote hayo lakini hawakuweza kuona kwa macho yao yale ambayo hayakutabirika. Kwa hiyo mimi hapa siwezi kusema lolote ktk jitihada za hawa jamaa na kusema kweli nachoona ni katika magazeti na pengine kushangaa kama wahindi ama wachina wanavyoshindwa kuelewa kwa nini mtu mweusi kila siku hulia kuwa yeye huonewa!..I think you have to be part of the society kuweza kuelewa mapana ya maonezi hayo.. Hapa nilipo kuna haki kibao za wanawake huwa najiuliza mara mbili mbili.. na kusema kweli sina jibu isipokuwa nayaacha kama yalivyo. Lakini sina doubt kabisa kwamba wana kila sababu ya kutumia hali zao kuweza kuipeleka message haraka na siku zote changes ni muhimu zikawa na picha kamili kuonyesha unachodai na kwa ajili ya viumbe gani hata kama wawe ni wanyama.
Now, tukirudi ktk issue ya Ossama, siwezi kusimama hapa na kumuunga mkono kwa kila analofanya kwani hata sisi waafrica tuli recruit watoto wetu kujenga hate na wazungu makabaru. It's vicious na total barberic, yet haliondoi uharamu wa kuua hata kama kwa bunduki ama mabomu kama wanavyofanya Waamerica. As a fact bomu linaua hata yule anayekubaliana na serikali ya Marekani sawa na huyo Alqaeda member anayejilipua sokoni..Ni mtazamo wa Bush unaoweka mashaka yetu na vita yote hii sio uzungu wake.
Mwisho nimesema dhulma za wazungu sio issue ila ni Utawala wa Bush, wapo wazungu wengi sana nchi za kiislaam na as a fact wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hata wenyeji...hii haiwapi shida waislaam isipokuwa wanapoona baadhi ya nchi zao zinavamiwa kwa kutumia dini (Bush style)..
Labda niku touch wewe pale panapouma zaidi..
Unakumbuka historia ya Ukristu wakati wa Roman Empiure?.... wakristu walivyokuwa wakiteswa?..Je kwa nini waandishi wengi walitumia neno wakristu badala kusema wao ni Wataliani na Je juhudi za Wakristu kujikomboa na hata baada ya Ujio wa Constantine ambaye alipigana vita kuwaokoa wakristu popote Europe alionekana vipi machoni mwa Waroma ama wasioamini dini hiyo... labda nikupe kipande kidogo nimekipata toka wikipedia..
The first recorded significant persecution of Christians at the hands of the authorities of the Roman Empire was that of the year 64, when, as reported by the Roman historian Tacitus, the Emporor Nero blamed them for that year's great fire of Rome. According to Church tradition, it was under Nero's persecution that Peter and Paul were each martyred in Rome. For 250 years Christians suffered from sporadic and localized persecutions for their refusal to worship the Roman Emperor, considered treasonous and punishable by execution. The most widespread of these was the Great Persecution (303-311) of diocletian. He ordered Christian buildings (and the homes of Christians) torn down, their sacred books collected and burned, and Christians themselves were denied the protection offered other citizens by Roman law. Christians were arrested, tortured, mutilated, burned, starved, and forced to gladiatorial contests to amuse spectators.
Sasa mkuu ulitaka hawa watu watumie kigezo gani ili wapate kusikiwa ama haki zao zipate suluhu..