Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Mitomingi,
Tatizo kubwa la watu ni pale wanaposhindwa kujua tafsiri ama matumizi ya neno UDINI..
Bush hapigwi vita kwa sababu ni mkristu hata kidogo isipokuwa ni uongozi wake.. kwani walikuwepo kina Clinton hatukuyaona haya.
Halafu siku zote nashindwa kuelewa ndugu zetu ambao wapo radhi kupinga na hata kukashifu ziara za kina Ahmadinajad bila sababu za msingi hata kama tunategemea misaada kama ujio wa Bush.
Na kama kweli waislaam wangekuwa na Udini basi ziara ya Karume Ujerumani ingeleta hoja zaidi ya huu Ujio wa Bush lakini kwao wanatazama rangi zaidi na wazushi wa hoja wakisingizia upande wa pili kwa udini hali tunaishi sote kama jamii moja.

Soma hapa:- http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?id=6989
 
hayakumekucha.jpg
 
KUNA TAARIFA KUWA JACK PEMBA NA IDDI KIPINGU WANAJIANDAA KUWAKARIBISHA MA INVESTORS WA KIAMERICA KWENYE MICHEZO BONGO

BY THE WAY JACK MWENYEWE NDIYE ALIPOSTI PASSPORT YAKE ONLINE

jackpassport.jpg
 
Nimeona kwa macho yangu wakichoma bendera ya marekani huku wakiongea maneno ya kiislam.

Kweli kabisa, na yale maneno ni kweli kabisa ni ya kiIslam na yalikuwa yakitamkwa kiarabu "ALLAHU AKBAR" maana yake ni "MUNGU MKUBWA, Jee, wewe huamini kuwa "MUNGU MKUBWA"?
 
Mkandara vipi leo wangu umekuwaje? Yaani naona unakwepa tuu mkuu wangu! Siyo kawaida yako!

Nimeuliza maswali mbona sijapata jibu? Acheni sweeping statements tujenge hoja hapa! Hii ya tunaonewa, kuna udhalimu dhidi ya uislamu..no...way tujenge hoja wakuu..

Again I ask, can Moslems like Osama and others achieve what they want without using the platform of religion???????????? Eg is it possible for Osama and his associetes to "destroy American empire" as they have declared....without using the name of Islam? Is it possible for people to protest against injustice za wazungu na wengineo( which we all know kwamba zipo) bila kutumia jina la UISLAMU? thats my querry..Naomba majibu kwa hili!!!! Is it possible kudai na kuprotest dhuruma za wazungu bila kutumia kigezo cha dini?


hiyo kwamba wanaandamana and not what..its non of my business ni haki yao...just like anybody.
 
Masanja,
Nadhani unaelewa fika kwamba hata siku moja sikimbii swali, hujibu navyoelewa mimi na kama maji mazito nakunja msuli wangu naondoka taratibu...Sintarudia swali lako ila nadhani hapo mwanzo nilikwambia nitakujibu swali la pili tu., na ndilo nililokujibu.

Sawa kama unataka mtazamo wangu ktk swali lako nadhani tutarejea tena katika mjadala kama huu uliofanyika mwaka 2006..Niliwahi toa mfano wa karibu vile vile na kuuliza watu kama sisi weusi tungeshindwa kuondoa Ukoloni Africa kama tusingetumia jina la rangi yetu..weusi!..
Kumbuka ni wakati huo huo kina Steve Biko, Oliver Tambo, Mandela, Nyerere, Nkurumah, Samora wote hawa walionekana sawa na Ossama machoni pa mazungu wenye siasa kali, maanake hata wao hawakujiona makalio yao kuwa walikuwa na siasa kali isipokuwa mweusi aliyetaka kujikomboa.

Now, turudi kwenye main question..hawa wote walikuwa na kitu gani in common?... walipinga kutawaliwa sasa either washinde ama washindwe hiyo sii kazi yetu kutoa hukumu kwani Steve Biko alikufa nchi hiyo haikupata Uhuru. Kina Martin Luther King walipinga yote hayo lakini hawakuweza kuona kwa macho yao yale ambayo hayakutabirika. Kwa hiyo mimi hapa siwezi kusema lolote ktk jitihada za hawa jamaa na kusema kweli nachoona ni katika magazeti na pengine kushangaa kama wahindi ama wachina wanavyoshindwa kuelewa kwa nini mtu mweusi kila siku hulia kuwa yeye huonewa!..I think you have to be part of the society kuweza kuelewa mapana ya maonezi hayo.. Hapa nilipo kuna haki kibao za wanawake huwa najiuliza mara mbili mbili.. na kusema kweli sina jibu isipokuwa nayaacha kama yalivyo. Lakini sina doubt kabisa kwamba wana kila sababu ya kutumia hali zao kuweza kuipeleka message haraka na siku zote changes ni muhimu zikawa na picha kamili kuonyesha unachodai na kwa ajili ya viumbe gani hata kama wawe ni wanyama.
Now, tukirudi ktk issue ya Ossama, siwezi kusimama hapa na kumuunga mkono kwa kila analofanya kwani hata sisi waafrica tuli recruit watoto wetu kujenga hate na wazungu makabaru. It's vicious na total barberic, yet haliondoi uharamu wa kuua hata kama kwa bunduki ama mabomu kama wanavyofanya Waamerica. As a fact bomu linaua hata yule anayekubaliana na serikali ya Marekani sawa na huyo Alqaeda member anayejilipua sokoni..Ni mtazamo wa Bush unaoweka mashaka yetu na vita yote hii sio uzungu wake.

Mwisho nimesema dhulma za wazungu sio issue ila ni Utawala wa Bush, wapo wazungu wengi sana nchi za kiislaam na as a fact wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hata wenyeji...hii haiwapi shida waislaam isipokuwa wanapoona baadhi ya nchi zao zinavamiwa kwa kutumia dini (Bush style)..

Labda niku touch wewe pale panapouma zaidi..
Unakumbuka historia ya Ukristu wakati wa Roman Empiure?.... wakristu walivyokuwa wakiteswa?..Je kwa nini waandishi wengi walitumia neno wakristu badala kusema wao ni Wataliani na Je juhudi za Wakristu kujikomboa na hata baada ya Ujio wa Constantine ambaye alipigana vita kuwaokoa wakristu popote Europe alionekana vipi machoni mwa Waroma ama wasioamini dini hiyo... labda nikupe kipande kidogo nimekipata toka wikipedia..

The first recorded significant persecution of Christians at the hands of the authorities of the Roman Empire was that of the year 64, when, as reported by the Roman historian Tacitus, the Emporor Nero blamed them for that year's great fire of Rome. According to Church tradition, it was under Nero's persecution that Peter and Paul were each martyred in Rome. For 250 years Christians suffered from sporadic and localized persecutions for their refusal to worship the Roman Emperor, considered treasonous and punishable by execution. The most widespread of these was the Great Persecution (303-311) of diocletian. He ordered Christian buildings (and the homes of Christians) torn down, their sacred books collected and burned, and Christians themselves were denied the protection offered other citizens by Roman law. Christians were arrested, tortured, mutilated, burned, starved, and forced to gladiatorial contests to amuse spectators.

Sasa mkuu ulitaka hawa watu watumie kigezo gani ili wapate kusikiwa ama haki zao zipate suluhu..
 
Kama hawana ugomvi na Tanzania soma vizuri makala ya Dr. Njozi. Kwenye hili wanaandamana kwa sababu hawataki Bush aje Tanzania, sasa Bush anakuja Tanzania kwa sababu amelazimisha kuja Tanzania na hakuna lolote ambalo JK angeweza kufanya kumzuia asije. Kwa vile ni Rais wa Marekani amelazimisha kutua kwenye Ikulu yetu na kwenda kuangalia vitu mbalimbali. Kwa vile atakuwa anasindikizwa na Marine na wana usalama wa Kimarekani, Rais wetu ni msindikizaji tu na Rais Bush amejileta mwenyewe pasipo hata kualikwa! Kama Bush amefanya hivyo na mimi nawaunga mkono Bush asije!! Na tuichome bendera ya Marekani...

Kwanini asije kuangalia vitu mbalimbali jamani? wangekataa zile milioni mia saba za kihistoria za kuupiga vita umasikini na ugonjwa basi ningekubali wakatae asije. Kweli nikupe hela ukanunue mafuata ya taa ila upate mwanga wa kusomea halafu nisiangalie kama kweli umenunua mafuta ya taa au gongo?
 
Mkandara vipi leo wangu umekuwaje? Yaani naona unakwepa tuu mkuu wangu! Siyo kawaida yako!

Nimeuliza maswali mbona sijapata jibu? Acheni sweeping statements tujenge hoja hapa! Hii ya tunaonewa, kuna udhalimu dhidi ya uislamu..no...way tujenge hoja wakuu..

Again I ask, can Moslems like Osama and others achieve what they want without using the platform of religion???????????? Eg is it possible for Osama and his associetes to "destroy American empire" as they have declared....without using the name of Islam? Is it possible for people to protest against injustice za wazungu na wengineo( which we all know kwamba zipo) bila kutumia jina la UISLAMU? thats my querry..Naomba majibu kwa hili!!!! Is it possible kudai na kuprotest dhuruma za wazungu bila kutumia kigezo cha dini?


hiyo kwamba wanaandamana and not what..its non of my business ni haki yao...just like anybody.

The answer to your questions is simply, you do not know what religion means in Islamic term, "Dini". Din in Islam is the way of life, you can not seperate Islam from politics or anything else in this case.
 
Pedro,
Mkuu wangu hata gongo linawasha taa, Tatizo lipo ktk utumiaji wa hilo gongo (nusu wanakunywa nusu linawasha taa). Solution ya tatizo hili linaweza tatuliwa na maabara sio kiongozi mwanasiasa kuja kuona mwanga wa taa.
Bila shaka atasifia sana kuna taa zikiwaka hali Wadanganyika wameongeza kasi za gongo kulifanya kinyaji kitakatifu..Yaani ngono bila kinga mkuu wangu imeongezeka vibaya sana kisha Maleria ndio usiseme tumeletewa kila aina ya dawa hawataki muarobaini utumike isipokuwa dawa zao... na sidhani kama zinagawiwa bure kwa wananchi..Unapewa millioni 500 matumizi yenu kwa dawa zao ni millioni 500 kwa mwaka mmoja tu.

American interest comes first mkuu, ukielewa hilo hutajiuliza mara mbili safari za Bush!
 
Mkuu Mkandara heshima mbele now you are coming, ingawa hujafika.

Unajua, once when I was in USA..niliwahi kuuliza what was the role of christianity katika slavery? no body answered me. Kifupi hata kama hawakushiriki, je walicondemn matendo hayo ya utumwa, walikemea...(kama King alivyosema, adui mkubwa ni yule anayekaa kimya wakati unamhitaji). Sasa basi hata Ukristu una mapungufu yake na tumeyaona na wengine wamekiri na kukubali. So to me I have no problem na wala sitetei maovu yaliyofanywa in the name of Religion in the mediaval Europe! Kama leo mtu akiniambia kwamba wakatoliki au wasabato wananyanyaswa TZ kwa hiyo tuandamane..I would disagree.

Swali langu liko very open na watu wanaogopa kulijibu sijui kwa nini. Basi itabidi nikubaliane na Muungwana Zomba kwamba you cant separate Islam and politics. Though to me I find it bitter and unfair! Kwa sababu wale wachache wanaotumia jina la "Allah" kujustify ugaidi wao kama akina Osama na wengineo sijaona wanapokuwa condemned na waislamu wenzao kwa kuwachafulia dini yao! Sijaona akina Khomein wanaweka bounty ya $$$ kama walivyofanya kwa Salman Rushdie..... Nilitegemea mtu akijilipua, akiua, akifanya chochote kibaya in the name of Islam (yenye followers wengi sana) awe condemned in strongest terms. Au you want to tell me that, in Islam violence is the only way of solving problems? I dont think so, na wala sidhani kama dini hiyo inafundisha hivyo!! Again I should say, hata wakristu wana mapungufu yao mengi sana, lakini dialogue is more important to them I bet...or they have restrained and used it to solve their problems.

Haya bwana naona nimeshindwa pata jibu. Kwa sababu, Uovu wa Bush wote tunaujua, lakini ni vema tukajenga hoja zetu kusudi tofauti zetu na akina Sheikh Ponda walioko mtaani kwa populism ziwe wazi. (no pun intended against mkuu Ponda)
 
Msanja,
Nimekujibu vizuri sana huko nyuma na sijui ni kiongozi gani ama kanisa gani ambalo limekubali kushiriki kikamilifu ktk utumwa..Sii waarabu, wazungu wala wayahudi wote they are into denial...
All in all, huyo anayekubali atakuwa mtu mmoja na kama ulivyosema ulipokuwa Marekani hukupata jibu. Sawa kabisa na Kaburu ambaye atapata shida sana kukubali Apartheid kwa sababu ilimlinda yeye.

Hawa watu wanatumia jina la Allah kama mbinu ya kuwaamsha waislaam kama alivyotumia Constatine wakati akipigania haki za wakristu. Ama Moses na Wayahudi against Utawala wa Faraun.. again politics na religion... we (muslims) understand your suffering?..

Nachoshindwa mimi kuelewa ni pale wakristu wamepitia matatizo kama haya chini ya Roman Empire, kisha wayahudi chini ya Hitler na walisema sana kwa jina la Mungu wao na dini yao lakini inapofikia kwa waislaam, hili neno Allah ambalo lina maana ya Mungu mmoja muumba imekuwa issue kubwa.
Ndugu yangu usiwe kama mhindi anayeshindwa kuelewa kwa nini watu weusi Marekani wanalia kuwa wao huonewa!... The fact remain kweli wanaonewa na ktk maonezi hayo huyafanya mengine ya kuchukiza in the name of their color!
 
Islam is crap, I wonder why you guys are wasting your time discussing about bombers! JF wanna be bombed now..I'm quiting...
 
.....................demokrasia @ work!! mkifikia muafaka, mie nitasema allahu akbari.
 
Islam is crap, I wonder why you guys are wasting your time discussing about bombers! JF wanna be bombed now..I'm quiting...

TzPride,
.....don't provoke........heshimu imani za watu hapa
nilikuwa nakuheshimu kwa mawazo/hoja makini.....lakini hii ni below and beyond upumbavu........yaani hata sina jina la kukupa

tunakoelekea na hii mada.............naomba Mods muifute na huyu Tz Pride apewe Onyo
 
Islam is crap, I wonder why you guys are wasting your time discussing about bombers! JF wanna be bombed now..I'm quiting...

shame on you!! nilisema hii mada itawa-expose nini kipo ndani yenu!! there you go, as primitive as you can be. halafu eti unajiita TzPride, what's in the name??

nipo proud kuwa muislamu, siiungu mkono udini kwa jinsi yeyote. nikiwa kama mtu wa Tanga nafurahia religous diversity yetu, kwani Tanga ktk familia moja si ajabu kukuta wakristu na waislamu wana-share same surname!!

Death to UDINI!!
 
TzPride,
.....don't provoke........heshimu imani za watu hapa
nilikuwa nakuheshimu kwa mawazo/hoja makini.....lakini hii ni below and beyond upumbavu........yaani hata sina jina la kukupa

tunakoelekea na hii mada.............naomba Mods muifute na huyu Tz Pride apewe Onyo

Ogah,
hamna haja ya kufuta hii thread, waache waseme wasemavyo, ila wakae wakijua kwamba wamesomewa their "miranda right" kwani ipo siku hii thread itatumika kama ushahidi wa nini kili kisibu Tanzania!! ukisoma maoni ya watu hapa, utaona ni jinsi gani tulivyo tofauti(which is a good thing)........mie nimekulia neighborhood flani in Dizim, kwamba wakristo na waislam wana-share Idd na X-mas. Tulikuwa na share fence na kanisa kuuuuubwa la kikatoliki, my mom alikuwa never miss kila jumapili na "mzalendo" lake kwenye back yard kusikiliza nini baba paroko ataongea siku hiyo!! kengere ya kanisani ya saa kumi na mbili asubuhi ilikuwa kama my "alarm clock" kuniamsha...........i just don't get it, hawa jamaaz udini wameutoa wapi?? its insane and madness at its best.

Ponda and company wanahaki ya kufanya walichofanya, si kweli kwamba wanawakilisha uislamu na waislamu wa TZ, Ponda will alwayz be Ponda.!!!
 
Back
Top Bottom