Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.Kaeni mkijua watanzania hawana hata muda na hiyo chadema, hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesumbuka na chama chenu
Ndio maana naomba tozo ziongezwe kabisa yani ukitoa elf 2 ukatwe elf 10.Kaeni mkijua watanzania hawana hata muda na hiyo chadema, hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesumbuka na chama chenu
Maendeleo yote Tz yameletwa na ccm, kama hutak kushirikiana na ccm hameni nchiNi sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Lisu huyuhuyu au lisu mpyaWatapigwa mapema sana
Hakuna kesi hapo.
Kibatala na Lissu labda wawe wamekufa
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala CCM hii haina tofauti na Bokoharam.Mbowe ni gaidi
Hii post yako ya kitoto Sana tena kibintibintiKwa mujibu wa taarifa zilizopatikana