The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana
Kwani huyu jamaa anayezungumza hapa ni nani ati?
Nimemskiliza mwanzo mwisho. Lakini kila dalili inaonesha kuwa naye ni miongoni mwa watu wa kitengo afanyaye "kazi maalumu" kujaribu ku - neutralize ishu ya CHADEMA na Mbowe...
Katika maelezo yake haya kwa mtu aliyemsikiliza kwa makini anaweza kugundua haya;
å Jamaa kaanza kutoa maelezo yake haya katika namna kama vile ana sympathize na wapenzi, mashabiki na wafuasi wa CHADEMA juu kukamatwa kwa m/kiti wa chama Taifa....
å Lakini mwishoni huko nia na lengo lake halisi likawa wazi hususani alipoanza kutoa ukosoaji wa taarifa ya makamu m/kiti wa CHADEMA Tundu Lissu juu ya kutoweka dhamana kwa viongozi wake wanaokamatwa na polisi na kuwaweka korokoroni bila makosa au kwa makosa ya kutunga/ya uongo...
Anasahau kabisa kuwa TL hakumaanisha kusimamia kesi. Kuweka mawakili au kujitetea mbele ya mahakama kama umefunguliwa mashtaka is not an option, bali hiyo ni lazima...
Lakini haya mambo ya kusumbuana ndani ya mahabusu za polisi, pasipo kufikishana mahakamani, hilo polisi wakae nalo wao...
Huyu jamaa ana kazi maalumu ya kutengeneza mazingira ya kupunguza mihemuko ya watu ktk ishu hii ya Freeman Mbowe ili CCM wafanye yao ikiwemo hata kuua kwa namna yoyote ile...
Hizi spinning ni maandalizi ya tukio moja in connection na hili kutokea. I can guess...
AIDHA
MOSI, lengo la serikali ya CCM kuifuta/ondelea usajili CHADEMA kwa sababu taarifa za ndani huko, chini ya carpet zinasema tayari Msajili wa vyama vya siasa ameshaagizwa aanzishe mchakato wa kuiondolea usajili CHADEMA kwa kutumia kigezo kuwa ni chama cha kigaidi...
AU
PILI, kama hili litakuwa gumu (na obviously siyo tu ni gumu bali haliwezekani kabisa!), basi wamwachie jamaa huru lakini atengenezewe mkakati mwingine wa kummaliza....!!
Is it possible? Let's wait and see. However, the optimism shows that, CHADEMA & Mbowe are obvious winner in this game...!
Lakini all in all kwa kuanzia, mpuuzeni huyu, hana lolote bali ni spinner mjinga na mpumbavu fulani tu maana yeye amedhani sisi ni wajinga kama alivyo mjinga yeye na wenzake huko...