Taarifa: Wanataka Kumhusisha Mbowe Na Kesi Hii Ya Agosti 19, 2020 Na "Mpango wa Kumdhuru Sabaya

Taarifa: Wanataka Kumhusisha Mbowe Na Kesi Hii Ya Agosti 19, 2020 Na "Mpango wa Kumdhuru Sabaya

Turudishieni kodi zetu zilizojenga nchi hii, tugawane eneo mkae na makondoo wenzanu wa ccm, sisi tuanze kuijenga nchi yetu ya kisasa.
Bado unashi kwa dadako eti ujenge nchi


USSR
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.

Ukisoma comment kama hii unaishia kucheka tu
 
Turudishieni kodi zetu zilizojenga nchi hii, tugawane eneo mkae na makondoo wenzanu wa ccm, sisi tuanze kuijenga nchi yetu ya kisasa.

Mkuu inabidi uweke simu kando kwa muda,upumzike [emoji3][emoji3]
 
Mimi sikubaliani na Mbowe kwenye mambo mengi lakini kusema Mbowe alitaka kumdhuru kiongozi wa serikali na ni gaidi huu ni uongo Mbowe na madhaifu yake awezi kuwa gaidi
 
Naiona civil war inakuja kwa kasi, tz vipande vipande, zenji iataondoka, pemba hiyo unguja kule,kaskazi, pwani kusini vipande vipande, msijesema sikuwaambia
 
Cdm hebu tulieni leo tuna tukio Kigoma, give us a break maana kila dakika Mbowe Mbowe! Mbowe mwenyewe shetani kabisa anachambana na marehemu!!
Wamemfanyia Mbowe kongamano bila ya wao kujua. Bora wangeliwaacha wakazungumza mambo ya Mwz na kuishia huko. Lakini leo hii imekuwa kongamano la taifa zima . Ahahahaaa [emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom