Taarifa: Wanataka Kumhusisha Mbowe Na Kesi Hii Ya Agosti 19, 2020 Na "Mpango wa Kumdhuru Sabaya

Cdm hebu tulieni leo tuna tukio Kigoma, give us a break maana kila dakika Mbowe Mbowe! Mbowe mwenyewe shetani kabisa anachambana na marehemu!!
Mbowe kisima cha maji marefu
 
Wamemfanyia Mbowe kongamano bila ya wao kujua. Bora wangeliwaacha wakazungumza mambo ya Mwz na kuishia huko. Lakini leo hii imekuwa kongamano la taifa zima . Ahahahaaa [emoji23][emoji1787]
Unajua huo ndo mwisho wa CCM,yalivyo majinga yanadhani yatatoboa,kumbe ndo yanaenda kufutika kabisa....
 
Hilo la kumuhisha kutaka kumuua Sabaya ni dogo, wamuhusishe na kifo cha dhalimu aliyeko motoni kabisa, lakini katiba mpya ni lazima na sio ombi.
Unalazimisha ukiwa umekaa sebuleni kwako mkuu,sio ukamanda huo.
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Fanya hvo ufe njaa😂😂😂
 
Hilo la kumuhisha kutaka kumuua Sabaya ni dogo, wamuhusishe na kifo cha dhalimu aliyeko motoni kabisa, lakini katiba mpya ni lazima na sio ombi.

Kuwa Na maneno ya stara nyokololo zako, shagaake na Kigogo 14 we
 
Kaeni mkijua watanzania hawana hata muda na hiyo chadema, hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesumbuka na chama chenu
Umechukua jukumu la kuwasemea waTanzania hapa; ambao kwa kukosa akili kwako unawahusisha na kutoijali Tanzania yao.

Kama huo siyo upumbavu tuuite ni kitu gani!
 
Hahaa achana na hizi ID zinazolipw Jana kuna boya mmoja tumemuumbua. Udhani comment zake ni automated yaani kila baada ya dakika tano anakunya uharo
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Nilishaachaga huo ujinha wa kutoa sadaka kitambo sana. Unatoa sadaka haiendi kwa Mungu maana hao wanaojiita viongozi wa Dini hawana Mungu.
 
Mimi binafsi si appreciate Mbowe ila hiki serikali inachokifanya ni utoto uliopitiliza kiwango.

Eti Mbowe Gaidi, what a joke.

Sio mara ya kwanza kwa Mbowe kuhusishwa na mauaji au mipango ya kutaka kuua. Alihusishwa na kifo cha Chacha Wangwe, alihusishwa na mipango ya kuwaua Zitto Kabwe na kadhalika.
 
Back
Top Bottom