Taarifa: Wanataka Kumhusisha Mbowe Na Kesi Hii Ya Agosti 19, 2020 Na "Mpango wa Kumdhuru Sabaya

Turudishieni kodi zetu zilizojenga nchi hii, tugawane eneo mkae na makondoo wenzanu wa ccm, sisi tuanze kuijenga nchi yetu ya kisasa.
Bado unashi kwa dadako eti ujenge nchi


USSR
 

Ukisoma comment kama hii unaishia kucheka tu
 
Turudishieni kodi zetu zilizojenga nchi hii, tugawane eneo mkae na makondoo wenzanu wa ccm, sisi tuanze kuijenga nchi yetu ya kisasa.

Mkuu inabidi uweke simu kando kwa muda,upumzike [emoji3][emoji3]
 
Mimi sikubaliani na Mbowe kwenye mambo mengi lakini kusema Mbowe alitaka kumdhuru kiongozi wa serikali na ni gaidi huu ni uongo Mbowe na madhaifu yake awezi kuwa gaidi
 
Wangu yuko mbele ya haki, hivyo uooto wa mama yako ndio nahakikisha kiduku kinakaa vizuri kwa cutting ya kisasa.
Sasa ndo mnadhalilishana kisa ccm na mbowe?
 
Naiona civil war inakuja kwa kasi, tz vipande vipande, zenji iataondoka, pemba hiyo unguja kule,kaskazi, pwani kusini vipande vipande, msijesema sikuwaambia
 
Cdm hebu tulieni leo tuna tukio Kigoma, give us a break maana kila dakika Mbowe Mbowe! Mbowe mwenyewe shetani kabisa anachambana na marehemu!!
Wamemfanyia Mbowe kongamano bila ya wao kujua. Bora wangeliwaacha wakazungumza mambo ya Mwz na kuishia huko. Lakini leo hii imekuwa kongamano la taifa zima . Ahahahaaa [emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…