My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Tuliomba sana Magufuli asifike 2025,Mungu akajibu,sasa hivi Tunaomba CCM Empire ifutike ktk uso wa Tanzania,na Mungu atajibu,mijitu hii ni shenz taipu sanaKwa mujibu wa taarifa zilizopatikana
Kama Magufuli alivyokufa ghafla ndivyo CCM nayo itakufa ghafla,jingaman weweKaeni mkijua watanzania hawana hata muda na hiyo chadema, hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesumbuka na chama chenu
Mbowe kisima cha maji marefuCdm hebu tulieni leo tuna tukio Kigoma, give us a break maana kila dakika Mbowe Mbowe! Mbowe mwenyewe shetani kabisa anachambana na marehemu!!
Unajua huo ndo mwisho wa CCM,yalivyo majinga yanadhani yatatoboa,kumbe ndo yanaenda kufutika kabisa....Wamemfanyia Mbowe kongamano bila ya wao kujua. Bora wangeliwaacha wakazungumza mambo ya Mwz na kuishia huko. Lakini leo hii imekuwa kongamano la taifa zima . Ahahahaaa [emoji23][emoji1787]
Unalazimisha ukiwa umekaa sebuleni kwako mkuu,sio ukamanda huo.Hilo la kumuhisha kutaka kumuua Sabaya ni dogo, wamuhusishe na kifo cha dhalimu aliyeko motoni kabisa, lakini katiba mpya ni lazima na sio ombi.
Tunaendelea kumlilia Mungu. Mungu wetu hajawahi kushindwaTuliomba sana Magufuli asifike 2025,Mungu akajibu,sasa hivi Tunaomba CCM Empire ifutike ktk uso wa Tanzania,na Mungu atajibu,mijitu hii ni shenz taipu sana
Fanya hvo ufe njaa😂😂😂Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Umbwa wewe
Hilo la kumuhisha kutaka kumuua Sabaya ni dogo, wamuhusishe na kifo cha dhalimu aliyeko motoni kabisa, lakini katiba mpya ni lazima na sio ombi.
Liweke wazi!
Mpira utakuwa Kigoma Mpira wa Tanzania ni kama Siasa CHAFU za CCMCdm hebu tulieni leo tuna tukio Kigoma, give us a break maana kila dakika Mbowe Mbowe! Mbowe mwenyewe shetani kabisa anachambana na marehemu!!
Umechukua jukumu la kuwasemea waTanzania hapa; ambao kwa kukosa akili kwako unawahusisha na kutoijali Tanzania yao.Kaeni mkijua watanzania hawana hata muda na hiyo chadema, hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesumbuka na chama chenu
Shetani Kumshinda Mungu Yehova neverWatapigwa mapema sana
Hakuna kesi hapo.
Umefulia?Ngoja nikaanue nguo kwanza
Hahaa achana na hizi ID zinazolipw Jana kuna boya mmoja tumemuumbua. Udhani comment zake ni automated yaani kila baada ya dakika tano anakunya uharoUmechukua jukumu la kuwasemea waTanzania hapa; ambao kwa kukosa akili kwako unawahusisha na kutoijali Tanzania yao.
Kama huo siyo upumbavu tuuite ni kitu gani!
Nilishaachaga huo ujinha wa kutoa sadaka kitambo sana. Unatoa sadaka haiendi kwa Mungu maana hao wanaojiita viongozi wa Dini hawana Mungu.Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Mimi binafsi si appreciate Mbowe ila hiki serikali inachokifanya ni utoto uliopitiliza kiwango.
Eti Mbowe Gaidi, what a joke.