Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Zenji kimeanza kunuka!! safari hii ICC inawaita watu wa shangwe!!
 
KAMA JWTZ WAMEKUBALI WARUNDI WAJE WATUUE SISI NDUGU ZAO INASHANGAZA SANA!!!NASHAURI JPM AWATUMIE JWTZ WATUUE ILI TUJUE TUNAUAWA NA NDUGU ZETU KULIKO WAHUTU WATUUE HUKU WAJEDA WAMEFYATA MKIA!!!NADHANI BORA JWTZ WATUUE WENYEWE KULIKO WAGENI LABDA KIFO CHETU KITAKUWA KITAMU TUKIUAWAWA NA WATOTO WETU WENYEWE TULIO WAZAA!!!JWTZ TOENI TAMKO KWA JESHI LA KIRUNDI LINALOUA ZANZIBAR!!!MSIFYATE MKIA HAKUNA KUTII KIAPO PALE MKUU WENU ANAPOVUNJA KIAPO!!!KINUKISHENI WAKUU THIS IS TOO MUCH!!!!
Hakuna MWANAJESHI WA TZ ATAKAEMSHINDILIA MTI KIJANA KAMA HUYO MTZ MWENZAKE KISA ETI JPM NA MWINYI WASHIKE HATAMU!!!
 
Watu wanapoambiwa Watii sheria bila shurutii si Huwa wanakataaaa na Nyie Viongozi ndo Mnakuwa wa kwanza kuvunja sheria Hizo!

Na hiki ndo Mlichokitaka...!!

Wamekufa na kujeruhiwa Watu Maskini na Wanyongee Mno maalimu na kina zitto bado wanapumua.
VIJANA TUJIFUNZE KUTO KUTUMIKA!
 
Maalim anaviashiria vyote vya kuvuruga amani ya Zanzibar kwa tamaazake za madaraka na hatoyapata.
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Hawa watu wana macho ya mionzi mpaka wanaona karatasi zilizomo ndani ya box kwamba zimewekwa tiki ajabu
 
Duu! Poleni Ndugu wa marehemu na tunawaombea marehemu hao wapumzike kwa Amani!
Waliowakatili uhai wao hao nao Mungu akawalipe sawasawa na matendo yao!
Pia tunawaombea waliojeruhiwa wakapate nafuu ya haraka!....... Mungu na akwamishe hila zote mbaya za kudhulumu haki na maamuzi halali ya wananchi!
 
Jf bana sioni mtu akiuliza hao ndg walionaje hizo karatasi zilizojazwa....au walioteshwa !? Vurugu siyo kigezo cha kujua siasa au demokrssia ...yapo maisha baada ya uchaguzi
 
Mimi naona Bora wakae waepushe hizi roho za ukatili na kufanya hata hiyo kesho watu wachague kwa hasira wakiona Kuna binadamu wamekosa utu kwa kushindwa kuthamini uhai wa mtu na kuufanya si kitu tena, kwanza kuna clip inaongea Mwinyi alisema akapigiwe kura tarehe 27 na Wanachama wake sasa hapo tu palitosha kukaa pamoja kutatua hiyo adhima mapema maana wakimkomalia italeta shida hata kwake kwenye Uongozi wake.
 
Asilaani mauaji tuyalaani pia tabia ya washabiki wake kuchokoza askari na kuwadharau waziwazi, kuwashambulia kwa mawe na kadhalika, anatakiwa awaambie waheshimu sheria na kanuni haya yote kama ni kweli yametokea, basi yasingetokea, yeye ndiye chanzo kwa kuwajaza uzushi na ujinga washabiki wake.
 
Bora baba yako angepiga punyeto TU....kuliko kulizaa Toto Kama wewe....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Wazanzibari imefika wakati lazima wawe na silaha za moto,ikiwa wana uwezo wa Kuwa na kila kitu,silaha ndio solution ya kumaliza mauaji,kila mzanzibari mwenye uwezo hima awe na silaha ya moto,Pemba/unguja,halafu ipigwe mbiu ya mgambo.
 
Wazanzibari imefika wakati lazima wawe na silaha za moto,ikiwa wana uwezo wa Kuwa na kila kitu,silaha ndio solution ya kumaliza mauaji,kila mzanzibari mwenye uwezo hima awe na silaha ya moto,Pemba/unguja,halafu ipigwe mbiu ya mgambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…