HEADING=3][/HEADING]
31m ·
#BREAKINGNEWS #ZANZIBAR.
WALIOUWAWA NA POLISI ZANZIBAR WAONGEZEKA.
RIPOTI YA HALI YA MKOA WA MICHEWENI KWA USIKU WA JANA TRH 26/10/2020.
1. Hamad Khamis Hamad mkaazi wa Makundaani jimbo la Wingwi miaka 25 Amepigwa risasi ya Mkoni
2. Abdallah Nassor Mbarouk miaka 30 mkaazi wa Mchepewe jimbo la Wingwi Amepigwa risasi na amefariki dunia
3. Ali Said Kombo miaka 35 mkaazi wa Kinazini jimbo la Wingwi Amepigwa risasi ya Shingo
4. Hamad Amour Abdalla miaka 35 mkaazi wa Sizini jimbo la Wingwi amepigwa risasi ya paja na kutokea upande wa pili
5. Abdalla Hamad Miaka 34 mkaazi wa Tumbe Mbuyuni amefariki kwa kupigwa risasi
6. Mustafa Haji Shaame miaka 30 mkaazi wa Tumbe Kaliwa jimbo la Tumbe ni majeruhi amepigwa risasi
7. Masoud Salim Fadhil miaka 16 mkaazi wa Mafya jimbo la Wingwi amefariki dunia kwa kupigwa risasi ya Tumbo
8. Khator Kombo Bakar miaka 22 Mkaazi wa Shumba Mjini amekamatwa usiku wa jana huko Shumba Mjini
9. Shehe Mahmoud miaka 50 Mkaazi wa Chamboni Shumba Mjini nae pia alichukiliwa usiku wa jana.
Kombo Mwinyi Shehe.
Katibu wa haki za Binadam
Mkoa wa Micheweni kichama.