Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Hapo sasa
Watu wanajazana ujinga, wameona gari linasambaza vifaa vya kwenda kupigia kura wakaweka hisia zao mbele kwamba masanduku ya kupigia kura Yana kura ndani. Leo ndio kura zinaenda kuanza kupigwa, Mawakala wa vyama watakuwepo kwenye vyumba vya kupigia kura na kabla yakuanza kupiga kura masanduku yanaonekana mbaka ndani kwamba hayana kitu. Aya mambo ya hisia yatasababisha watu kuumia.
 
Kwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
[emoji15]walijuaje Kama zinatiki tayari?
 
Mwanakulitafuta mwanakulipata. Askari wanapeleka masanduku yakupigia kura ww raia unawazuia Tena kwa fujo. Huko vituoni hakuna mawakala wa ACT ambao wangeyakagua hayo masanduku?
Jana tumeoneshwa humu video raia wakiwapiga mawe Askari hukohuko Zanzibar na watu humu wakawa wanafurahia.
Haya ndio matokeo
 
Waoneshwe Mara ngapi?.
Unadhani wazanzibar NI vipofu?..
Huyo mwinyi hapo bila polisi na JWTZ HAPITI.
Kutumia cheo cha kuwa waziri wa ulinzi kuwasomba JWTZ kwenda kuwajaza Zanzibar wawatishe watu matokeo yake CDF atapata shida za kupelekwa ICC The Hague kujibu mashitaka kwa unyama waliofanya Zanzibar
 
Inawezekana Mwinyi asihusike.
Ila Magufuli na Shein ndo wapo nyuma ya huu ukatili.
Kutumia cheo cha kuwa waziri wa ulinzi kuwasomba jwtzccm kwenda kuwajaza Zanzibar wawatishe watu matokeo yake CDF atapata shida za kupelekwa ICC The Hague kujibu mashitaka kwa unyama waliofanya Zanzibar
 
Mwanakulitafuta mwanakulipata. Askari wanapeleka masanduku yakupigia kura ww raia unawazuia Tena kwa fujo. Huko vituoni hakuna mawakala wa ACT ambao wangeyakagua hayo masanduku?
Jana tumeoneshwa humu video raia wakiwapiga mawe Askari hukohuko Zanzibar na watu humu wakawa wanafurahia.
Haya ndio matokeo
CCM wanafurahia mauaji ili wapate madaraka.
 
Huna lolote mbwembwe tu. Hapo ulipo umetumua Id bandia. Hatudanganyiki.
Kama tumeandikiwa kufa tukipambana na mkoloni mweusi na iwe hivyo!

Walio tangulia wapumzike kwa amani nasi tuko nyuma yao.
 
Mwanakulitafuta mwanakulipata. Askari wanapeleka masanduku yakupigia kura ww raia unawazuia Tena kwa fujo. Huko vituoni hakuna mawakala wa ACT ambao wangeyakagua hayo masanduku?
Jana tumeoneshwa humu video raia wakiwapiga mawe Askari hukohuko Zanzibar na watu humu wakawa wanafurahia.
Haya ndio matokeo
Asikari anayeshiri uchakachuaji wizi wa kura yeye ana haki za kufanya hivyo vitendo haramu vya kishamba na kishetani? Hizo sinema za kurusha mawe zimetengenezwa na CCM ili kupata kisingizio cha kuwainea kuwaua Raia
 
Wanazuia kwa utaratibu gani kwa kushindana na watu wenye silaha za moto? Namna pekee ya kushindana na hao na nyie ni kutafuta njia za moto vinginevyo mtakwisha na hamtazuia chochote
 
Mmekaa nyuma ya keyboard mnawahamasisha watu wajitoe mhanga alafu kwa unafiq mkubwa mnajidai kuwaonea huruma. Kunasiku mtalipia uo ujinga mbao mnaufanya.
 
Asikari anayeshiri uchakachuaji wizi wa kura yeye ana haki za kufanya hivyo vitendo haramu vya kishamba na kishetani? Hizo sinema za kurusha mawe zimetengenezwa na CCM ili kupata kisingizio cha kuwainea kuwaua Raia
Huko vituoni hakuna mawakala? Raia anazuia km nani? Na amejuaje km kunakaratasi zilizotikiwa?
 
Mmekaa nyuma ya keyboard mnawahamasisha watu wajitoe mhanga alafu kwa unafiq mkubwa mnajidai kuwaonea huruma. Kunasiku mtalipia uo ujinga mbao mnaufanya.
Wewe umekaa mbele ya keyboard? Acha ufala wako Yaani CCM mnafanya mambo ya kishamba haramu ya kishetani mnataka watu wakae kimya?
 
Huko vituoni hakuna mawakala? Raia anazuia km nani? Na amejuaje km kunakaratasi zilizotikiwa?
Mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisi huu ni Uchaguzi gelesha tu lakini mwinyi tayari keshalibaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom