Comment ya kijinga kupata kuandikwa na MTU anayejiita ana akili timamu.Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini maalim seif awaambie watu wake wakae nyumbani maalimu seif the hague itamuhusu.
Tii sheria bila shuruti.
Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini maalim seif awaambie watu wake wakae nyumbani maalimu seif the hague itamuhusu.
Wako wapi Wasanii wanafiki wa Tanzania
Labda uwaulize wale wanaowatuma vijana wasio na hatia kujipeleka mstari wa mbele na kupoteza maisha huko wao wakibaki majumbani kwao wanakunywa kahawa.
Maisha ya watu yanapotea unaleta ujinga! Bora hata kufuga mbuzi kuliko kuwa na watu wa aina yakoNimekuja mbio mbio nikajua utakuwa umeendika comment ya maana ili kuifubaza hii ya kijinga kumbe nayenyewe ni utumbafu tuuu.
Kuzuia masanduku ya kura ni ujambazi. Uliyewadanganya kakaa pembeniKishanuka!
Unapopewa amri na mwana usalama kwamba ondoka au pisha eneo fulani, ukaidi, nguvu ikitumika, hapo mwenye kosa ni nani?Kwani hao vijana wamefanya fujo gani?
Kama utaki maisha ya watu yapotee kuwa wakwanza / balozi wa kuimiza hao watu watii sheria bila shurti mbona unakuwa mjinga mjinga mgumu kuelewa mambo yet kila kitu kipo wazi.Maisha ya watu yanapotea unaleta ujinga! Bora hata kufuga mbuzi kuliko kuwa na watu wa aina yako
Unapopewa amri na mwana usalama kwamba ondoka au pisha eneo fulani, ukaidi nguvu ikitumika, hapo mwenye kosa ni nani?
"Utaki" ndio nini? Hata level yako ya uandishi haina hadhi ya kubishana na wenye akili.Kama utaki maisha ya watu yapotee kuwa wakwanza / balozi wa kuimiza hao watu watii sheria bila shurti mbona unakuwa mjinga mjinga mgumu kuelewa mambo yet kila kitu kipo wazi.
Ungekuja na uthibitisho usio na shaka, ingesaidia kujenga hii hoja yako. Vinginyo ni uzushi wa kuleta taaruki kwenye jamii.Ndo waweke masanduku ya kura feki!?
Ungekuja na uthibitisho usio na shaka, ingesaidia kujenga hii hoja yako. Vinginyo ni uzushi wa kuleta taaruki kwenye jamii.
Kwani hii ni mara ya kwanza kwa vifaa kusafirisha usiku? Ikiwa vituo vinafufuliwa saa 1 asubuhi, unataka vitu yafikiswe muda gani? Kuna sehemu vifaa vimesafirishi wiki nzima nyuma. Na kabla ya uchaguzi haujaanza, masanduku hayakaguliwi mbele wasimamizi na wahusika?. Ndio maana nasema hii yote ni kutaka kuleta taharuki isiyo na tija.Ina maana huko Zanzibar wapo VICHAA?.
hawajui kinachoendelea?.
Acha kujitoa ufahamu..
Kuna haja gani ya kusambaza masanduku ya kura usiku takiwa na kura ndani?