Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Mshana Jr Makiwendo Heaven Sent Vincenzo Jr hii ilinitokea 2012 aisee ilikuwa mbaya skull fracture, 10 days nipo off kabisa
Screenshot_20241031-103653_Gallery.jpg
 
Hakika.
Vifo vingi siku hizi vinachangiwa na ukanjanja wa daktari wetu.
Sekta ya afya imevamia na waliokosa mwelekeo kama ilivyo upande wa ualimu.

Mungu akujalie afya njema na upone kwa haraka Ushimen 🙏
Upande wa Engineering je? Nenda pale chuo cha usafitishaji (NIT) kunajengwa sijui ni mabweni yale ya ghorofa 4 au 5. Architect aliye design hayo majengo utadhani tuko karne 17 au 18 na siyo karne ya technology ya 21 ya akili mnemba (AI). Mabweni kama misikiti ya Timbuktu. Shame on him/ her.
 
Hakika.
Vifo vingi siku hizi vinachangiwa na ukanjanja wa daktari wetu.
Sekta ya afya imevamia na waliokosa mwelekeo kama ilivyo upande wa ualimu.

Mungu akujalie afya njema na upone kwa haraka Ushimen 🙏
Dah ni maumivu sana Aise... Nakumbuka kuna jamaa mpaka leo hawezi kutembea wala kusimama..

Walimuambia Ana TB ya mapafu Kumbe wamepima vibaya, ikawa kila baada ya miezi sita akawa anapewa dawa za TB, baada ya mda zikamharibu mbavu na uti wa mgongo. 😕😕😕
 
Mungu wangu thanks God you are alive
Ulikuwa ni muujiza huu mkuu, Nilipata ajali kisiwani tena usiku nikaokotwa nikapelekwa Mnazi mmoja hospital pale zanzibar nikafanyiwa ct scanning ni nikapandishwa ndege mpaka Muhimbili nikiwa nimepoteza fahamu baada ya siku 10 najikuta napata fahamu Muhimbili. Kuishi na watu vizuri ni silaha kubwa sana
 
Back
Top Bottom