Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital


Quick recovery for him
 
Tunamuombea Kwa Mungu ampe afya njema na Insha All
lah atapona
 
Yaani it took 1 year and 5 months kupata ile balansi maana ardhi ilikuwa inaegemea upande wa kulia na kupoteza fahamu sometimes. Ukuu wa Mungu ulidhihirika
Mambo ya ajar achana nayo Mimi mwenyewe mpaka Sasa sitembei vizuri still.
Maeneo Kama dar ndio Kuna challenge nyingi barabarani na hakuna binadamu special chochote kinaweza kukukuta muda wowote.

Natamani nipate muda nikamtembelee ndugu yetu ushimen hapo muhimbili.

Tunamwombea mungu amponye ushimen haraka aweze kuendelea na majukumu yake.
 
Pole sana Manyanza...
Na ashukuriwe Mungu aliyekupa kuishi tena.
Ulikuwa ni muujiza huu mkuu, Nilipata ajali kisiwani tena usiku nikaokotwa nikapelekwa Mnazi mmoja hospital pale zanzibar nikafanyiwa ct scanning ni nikapandishwa ndege mpaka Muhimbili nikiwa nimepoteza fahamu baada ya siku 10 najikuta napata fahamu Muhimbili. Kuishi na watu vizuri ni silaha kubwa sana
 
Vipi na hao Madereva waliokufa nao hawakuwa Members wa JamiiForums ili labda tuwaombeleze tukiwa tunamtakia Pole aliye Hai na Matibabuni Hospitalini?
 
Weka namba tumchangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…