Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Shukrani mkuu nitajitahidi kupita kesho
 
Namtakia nafuu ya haraka classmate Ushimen
 
Aisee brother Pole sana ilikuwa ajali? Mimi niliwahi kupiga goti nilikaa eda mwaka mzima aisee
Ilikuwa ajali Kaka yaani ile ajali ilinivurugia kila kitu lakini Alhamdulillah imenifanya niwe mpya kabisa. Yaani nilipooza mkono wa kushoto kwa sababu Nilipata fracture mbaya sana kwenye bega. Na skull fracture ilisumbua sana.
Huwa nashangaa kuna mijitu humu inajifanya haijui uwepo wa Mungu.
 
Pole nyingi kwa classmate
 
Aisee pole sana kaka inshallah unaendelea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…