Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Humu ndani huwa kuna mijitu inatweza uwepo wa Mungu! Sasa isijekuwa tunamwombea ndugu yetu Ushimen kumbe naye ni mmoja wa wale wanaobeza uwepo wa Mungu (ingawa sijawahi kuona uzi wake akibeza). Mapito tunayopitia yawe funzo kwetu hapa duniani maana hatujui siku wala saa! Wanaobeza uwepo wa Mungu watatupa wakati mgumu sana kuwaombea kwa Mungu ambaye wao walimkataa hadharani!
 
Get well soon Bro!
 
School mate wa matajiri utakuwa sawa brother
 
Poleni sana
POLEN SANA YESU AWATANGULIE
 
Pole Sana kwake,Mungu amfanyie wepesi apate nafuu
 
Hongera kwa kufanya ibada mkuu, ubarikiwe katika hili. Tunazidi kumuombea mkuu Ushimen.
 
Ujumbe kwa Wana Jf.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Aleykum salaam shekh....
Asante kwa salam na maombi yetu pia.
Fikisha salam zangu na asante za dhati kwa team ya Jf.
Bado nipo Muhimbili hapa Sewahaji 17"


Tuzidi kumuombea mwenzetu ,Mwenyezi Mungu amponye haraka..🀲
Mliopo Karibu tufike walau kumjulia Hali bhandugu...
 
Hadi sasa Mungu amemponya. Jambo la msingi ni kuendelea kuomba rehema na kukiri uzima kupitia damu na jina Yesu. Mungu akukumbuke mpendwa.
 
Mungu akubariki kwa hiki ulichomtendea Mtumishi wake. Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…