Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Glory to GodTaarifa za hivi punde toka kwa mgonjwa mwenyewe
Baada ya zoezi la kukausha damu na usaha toka kwenye pafu lililoathirika vipimo vipya vinaonesha maendeleo mazuri na hakuna haja tena ya kufanya upasuaji..
Hii ni taarifa njema kwa mgonjwa mwenyewe.. Familia yake na sisi sote!
Taratibu za ruhusa zikikamilika mapema leo ataruhusiwa na atakuwepo Dsm kwa muda
Asabteni sana wote kwa upendo mkubwa mliouonesha kwake🙏🏾