Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Glory to God
 
Pole sana Anne, Mungu ana makusudi na wewe ndio maana upo mpaka wakati huu
 
Pole sana Anne, Mungu ana makusudi na wewe ndio maana upo mpaka wakati huu
Amen
Asante
Utukufu wote apewe Mungu wa mbinguni
Maana bila rehema zake basi ningezima palepale..maana kwa kile kishindo hata nilvyopona sielewi.
Bado Mungu hakuniacha
Akanipigania hadi nikapona vidonda vyote japo huwa ni kipindi kigumu Sana Cha maumivu makali ya mwili..hadi sasa hajaniacha
Ni mwaka wa 12 huu wa Neema
Ilikuwa 2012.

.....
Sasa Mungu huyu aliyetuponya mimi na wahanga wengine wa haya mambo
Ndiye huyu Mungu atakayemponya kaka Yetu Ushimen.
 
Aaaamin🤲
 
Aaaamin🤲
 
Amina maombi yetu ni juu yake. Mungu atamponya.
 
Inatia moyo sana kuona kaka Ushimen anaendelea vizuri

Mungu wetu aliye mwaminifu aendelee kumponya Ushimen
Binafsi naendelea kumkumbusha Mungu juu ya sadaka ambazo alimkopesha Mungu Kwa kunisaidia wakati wa shida yangu,nikiwa sina chochote ..Alisimama pamoja na familia yangu Kwa hali na mali kuhakikisha msiba wa baba unakwenda vizuri..hata baadaye aliendelea kunipigania.

Ushimen kwangu amekuwa zaidi ya ndugu
Huyu ni familia.

Mungu akakumbuke hizi sadaka zote ulizomkopesha .
Haya maneno nimeyaongea Kwa Imani na kumaanisha Toka ndani ya moyo wangu.
....
Tulio na mawasiliano yake
Tuendelee kumtia Moyo na kumpa maneno ya faraja na kutia moyo wakati huu anapopitia maumivu makali.
 
akili hazikuyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…