Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana kwa ajari na huduma mbovu alizopata hospitalini. Hapo hospitali alipokuwa kabla ya rufaa wameonyesha uzembe uliopelekea tatizo kuzidi kuwa kubwa kabla ya kugundulika.

Namtakia classmate aendelee kupata nafuu na arudi jukwaani.
 
Pole kaka Ushimen.
 

Pole sana Ushimen ,nakumbuka kwenye comment huko nyuma alisema kama alipata ajali mbaya sana! Get Well Soon.
 
Pole sana ndugu na mwanafamilia wa jf. Mungu wa mbinguni atasimamia uponyaji wako kwa kuwapa maarifa madaktari na utapona kabisa ndani ya muda mfupi
 
Pole sana kwake Ushimen ,we wish you a quick recovery...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…