Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana brother Ushimen Mungu asimame nawe.
 
Inaumiza Sana kiukweli Mtumishi Uishimen huwa nakuwa nae katika ule Uzi wa maombi ya Ahsubui .

Mung u mfanyie wepesi ndugu yetu n Kama kuna msaada utahitajika tupo tayari kuutoa Kama familia ya JF
Hata kama hakuna msaada unaitajika sisi kama marafiki zake tuangalie jinsi ya kwenda kumuona na chochote kama sadaka.itampa nguvu zaidi
 
Njoo pm dear
 
Pamoja na masikitiko yangu, najiuliza huwa mnapataje kujuana na anonymity zetu hizi.
 
Pole sana kwa mwamba wetu, inshallah atapona Mungu awepe wepesi katika uponyaji
 
"Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo". Mnao uhakika huo au amewapa muda wa kuandaa wasifu, kumbukeni kuna hayo ambayo madakitari waliyaruka mkidhani ni uzembe, mwisho mjue kuugua siyo kufa.
Ninampa pole na wanafamilia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…