Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Nilijibizana naye hapa Jamvini siku ile ya taarifa ya Wanafunzi kufukuzwa kule Tabora baada ya kujirekodi, kumbe mwamba alikuwa anaugulia bila wengine kujua.., so sad!

Mungu amfanyie wepesi aweze kupona na kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…